Ruka kwenye yaliyomo

Mahusiano nyota ya Nge na Nge (Scorpio and Scorpio)

Wapenzi pwani jioni - Mahusiano nyota ya Nge na Nge (Scorpio and Scorpio)
Picha: Unsplash

NGE NA NGE

Kati yenu kuna mvuto mkubwa sana wa ngono hapa, lakini joto la kihisia haliwezi kuendelea kuongezeka milele. 

Nyie ni watu wawili wanaofanana sana na maelewano kati yenu ni kidogo sana.

Ni wenye wivu wa kupindikia kila mmoja na asili ya mapenzi ya kudai mfano nimefanya hichi wewe hujanifanyia. 

Wote ni wakali sana kwamba kila dhoruba ndogo haraka inakuwa kimbunga. 

Nyote wawili ni wapenda shari, wenye kuchukizana, kutaka kumilikiana. 

Wote wawili mpo kwenye mapambano ya mara kwa mara kulazimisha mwingine kuachia ngazi ya utawala wa mahusiano ama awe ndio sababu ya kuachana. 

Mmoja kati yenu hukubali kushindwa na likitokea hilo ni mwisho wa hadithi.

 NOTE:

Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite ku

Rakims Spiritual
Imeandikwa na

Rakims Spiritual

Kufahamu zaidi pia niandikie kupitia Rakimsspiritual@gmail.com

Kuhusu Sisi →
Tunatumia cookies kuboresha tovuti yetu. Kwa kuendelea, unakubali matumizi yake. Soma zaidi
📱 Pakua App