Sera ya Faragha

Sera ya Faragha

Karibu kwenye Unajimu. Tunathamini faragha yako na tunalenga kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi zinalindwa ipasavyo. Sera hii ya faragha inaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako unapozuru tovuti yetu: https://www.unajimu.com.

1. Sisi ni Nani

Unajimu ni tovuti inayojihusisha na elimu ya sayansi ya kiroho na unajimu, inayomilikiwa na Rakims Spiritual mwenye makazi:

  • 210 Uhuru Street, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali rejea sehemu ya "Wasiliana Nasi" chini ya ukurasa huu.

2. Taarifa Tunazokusanya

Tunakusanya taarifa binafsi ikiwa ni sehemu ya huduma zetu za kutoa mwongozo wa kiroho na unajimu. Taarifa hizi ni pamoja na:

  • Jina la Kuzaliwa
  • Jina la Mama
  • Tarehe, mwezi, na mwaka wa kuzaliwa
  • Jinsia
  • Barua pepe au namba ya simu
  • Saa ya kuzaliwa (kama inajulikana)
  • Mahali ulipozaliwa

Taarifa hizi hutumika kwa madhumuni ya kuandaa ramani ya nyota yako (astrology chart) au kufanya usomaji wa kiroho kulingana na masuala ya afya au maswali yako binafsi.

3. Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Hatutashirikisha taarifa zako binafsi na mtu au taasisi yoyote bila idhini yako. Tunaheshimu faragha yako kwa kiwango cha juu na kamwe hatutatoa taarifa zako kama mfano au kusambaza kwa namna yoyote ile.

4. Haki Zako Kuhusiana na Taarifa Binafsi

  • Haki ya Kufuta Taarifa: Unaweza kuomba taarifa zako binafsi zifutwe kabisa kutoka kwa kumbukumbu zetu.
  • Haki ya Kujulishwa: Una haki ya kujua kama tunakusanya taarifa zako, tunazitumia vipi, na iwapo tunazishirikisha kwa mtu mwingine.
  • Haki ya Kuzuia Matumizi: Unaweza kuomba matumizi ya taarifa nyeti yazuiwe kwa huduma husika pekee.
  • Haki ya Usawa: Hatutakubagua ikiwa utaamua kutumia haki zako za faragha.

5. Matumizi ya Taarifa Nyeti

Iwapo tunakusanya taarifa nyeti kama vile maelezo ya afya, eneo sahihi, au taarifa za kifedha, tunazilinda kwa viwango vya juu na kutumia taarifa hizo tu kwa kutoa huduma uliyoomba, si zaidi ya hapo bila idhini yako ya moja kwa moja.

6. Mchakato wa Uhakiki wa Maombi

Unapowasilisha maombi kuhusiana na taarifa zako binafsi, tunaweza kukuomba uthibitishe utambulisho wako ili kulinda usalama wa taarifa hizo. Tutatumia taarifa zako tu kwa madhumuni ya kuhakiki, na tutaifuta mara baada ya uhakiki kukamilika.

7. Haki za Wakazi wa Virginia (Marekani)

Kama wewe ni mkazi wa Virginia, Marekani, una haki maalum chini ya Virginia CDPA ikiwa ni pamoja na:

  • Haki ya kujua kama taarifa zako binafsi zinashughulikiwa
  • Haki ya kupata au kufuta taarifa zako
  • Haki ya kupinga matumizi ya taarifa zako kwa matangazo yaliyolengwa
  • Haki ya kukata rufaa kama maombi yako yatakataliwa

Tunafuata sheria zote zinazotumika kuhusu faragha ya watumiaji wa tovuti.

8. Maudhui ya Wageni

Baadhi ya makala zinaweza kujumuisha maudhui yaliyopachikwa kutoka tovuti nyingine (mfano: video, picha). Maudhui haya yanafuata sera za faragha za tovuti asili na huenda yakakusanya taarifa zako kama vile cookies na anwani ya IP.

9. Vidakuzi (Cookies)

Tunatumia cookies kuhifadhi taarifa kama vile jina na barua pepe zako kwa urahisi wa ku-comment au kutumia tovuti. Unaweza kudhibiti matumizi ya cookies kupitia mipangilio ya kivinjari chako.

10. Sera ya Maoni

Wageni wanaruhusiwa kuacha maoni ndani ya wiki mbili baada ya kuchapishwa kwa makala. Maoni yanapaswa kuwa ya heshima na ya kujenga. Tunahifadhi haki ya kuhariri au kufuta maoni yoyote yanayokiuka sera zetu za mawasiliano.

11. Uhamishaji na Uhifadhi wa Data

Taarifa zako binafsi zinahifadhiwa kwa muda usiojulikana isipokuwa uombe zifutwe. Data ya maoni inaweza kukaguliwa kwa mfumo wa ulinzi wa spam otomatiki.

12. Mawasiliano

Kwa maswali, maombi ya kufuta au kusasisha taarifa zako, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

Tunathamini faragha yako na tunajitahidi kuilinda ipasavyo.

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !