Kuhusu sisi

Kuhusu Sisi

Karibu katika tovuti yetu!

Unajimu ni tovuti inayojihusisha na masomo mbalimbali katika Ramani ya Mafanikio, kwa lengo la kusaidia watu kuelewa kwa usahihi elimu ya nyota na mwongozo wa maisha kupitia elimu ya Unajimu wa kisasa na wa kiroho.

Unajimu inashughulikia masomo kama:

  • Elimu ya Nyota (Astrology)
  • Mahusiano Kinyota
  • Makundi 12 ya Nyota (mfano: Libra, Punda n.k.)
  • Bahati na Mustakabali wa Maisha

Lengo Letu

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa kila anayefuatilia elimu ya nyota anapata mwongozo wa kweli bila kuvuruga imani yake wala kumpeleka kwenye upotofu.

Mmiliki na Muongozaji wa Tovuti

Tovuti ya Unajimu ipo chini ya Rakims Spiritual ambaye ni:

  • Mnajimu wa Kimataifa
  • Tabibu wa Tiba Mbadala
  • Msoma Karata (Tarot Reader)
  • Mwalimu wa Elimu ya Kiroho
  • Tabibu wa Kiasili na wa Mitishamba
  • Maalim na Mshauri wa Hekima za Siri

Kwa mwongozo wake wa kipekee, utajifunza na kufaidika kupitia maarifa ya ndani yanayosaidia mwili na roho kwa pamoja.

Bidhaa na Huduma Zetu

Pamoja na elimu ya nyota, tovuti ya Unajimu pia inahusika na:

  • Uuzaji wa bidhaa za kiroho zenye nguvu na baraka (Pete za Bahati, Mikufu, Bangili, Saa Maalum)
  • Huduma za tiba na ushauri wa kiroho kwa mahitaji mbalimbali ya maisha

Huduma Tunazotoa

  • Kuchambua Nyota (Astrology Chart Reading)
  • Kuangalia Karata za Maisha (Tarot Reading)
  • Kutambua Mashambulizi ya Kiroho (Bewitched Diagnosis)
  • Tiba za Kiroho na Mitishamba (Spiritual and Herbal Healing)
  • Uchambuzi wa Ndoto (Dream Analysis)
  • Ujumbe wa Kiroho (Spiritual Messages)
  • Tiba ya Mapenzi na Mahusiano (Love Spells and Reconciliations)
  • Elimu ya Kiroho kupitia WhatsApp
  • Dua za Kiroho (Ruqyah and Special Prayers)
  • Bidhaa za Bahati (Astrology Rings and Jinn Empowerment)

Maelezo ya Huduma kwa Ufupi

  • Huduma A: Kuchambua nyota na maisha kupitia elimu ya kinyota, tarot, na mbinu mbadala za kiroho.
  • Huduma B: Uuzaji wa bidhaa za kiroho zilizofanyiwa visomo maalum kama Pete za Bahati, Mikufu, na Bangili.
  • Huduma C: Tiba za kiroho kupitia mitishamba iliyosomwa maalum kwa masuala ya kiafya na kimaisha.
  • Huduma D: Tiba ya maombi (Ruqyah) kwa ajili ya kuvunja uchawi, mikosi, na matatizo sugu ya kiroho.
  • Huduma E: Elimu ya kiroho kwa ajili ya kujitambua na kupata maarifa ya hekima na siri za maisha.

Dhamira Yetu

Dhamira yetu kuu ni kuhakikisha kwamba unapata kile unachokihitaji kwa neema ya Mwenyezi Mungu kupitia maarifa haya ya kipekee, kwa manufaa ya maisha yako ya sasa na ya baadaye.

Mahali Tulipo

Ofisi Zetu Zipo:

  • Ilala Bungoni, karibu na Imperial Hotels and Apartments
  • Dar es Salaam, Tanzania

Muda wa Kufungua: Kila Siku za Wiki (Jumatatu hadi Ijumaa)

Saa: 15:00 - 22:00 (Saa Tisa Kamili Jioni hadi Saa Nne Usiku)

Karibu Sana!

Asante kwa kutembelea tovuti yetu. Tuna matumaini kuwa utapata kile unachokitafuta na tunatarajia kukuhudumia hivi karibuni.

Rakims Spiritual

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !