Dawa ya mvuto

Rakims
14

Dawa ya Mvuto

Jinsi ya Vuta unachopenda kwa kutumia Sukari

Dawa ya mvuto?

Sukari ni mmea dawa unaotoka kwenye Muwa, na kutokana na ladha yake, kuacha hivyo pia ladha na utamu wa sukari ulishawahi kuweka record ya dunia katika kusaidia uhai wa watu wote hivyo pia kiroho humsaidia Mganga au muhitaji kuvuta baadhi ya vitu anavyopenda na kikaja kwa muda anaotegemea.

Vuta upendacho na sukari


Kuna vingi katika miujiza unaweza kuvivuta na vikakujia kwa kutumia njia ya sukari maalum ya kuvuta kama kuvuta mpenzi,pesa na mafanikio hata kama viko mbali vikakujia. 

Baadhi ya unayoweza kuita ni mazuri kwako na mengine ni mabaya unaweza ukaita adui wewe ukajua ni mwema akakujia au unaweza vuta kitu kwa mara moja kikaja kuwa kero kwa hiyo care for what you wish for,

Na pia kuna aina nyingi za sukari nyeupe, nyekundu,mawe, unga safi chafu yoyote ile sukari ni sukari ila kuna mivuto lazima uchague aina ya sukari,

hapa sukari ninayo izungumzia ni sukari mawe na pia ina hirizi yake ambayo siwezi kuiainisha bure, ni ya kulipia,

Dawa ya mvuto?

Jambo Muhimu

Jaribu hili! kipindi ambacho mwezi upo kwa muda wa siku 7 za wiki, choma kidogo sukari katika mkaa wako wa jikoni kama unavyofukiza dawa ya mbu au kwenye jiko. 

wakati moshi unaanza kutapatapa sema kwa sauti kidogo: 

“Kama vile sukari ilivyotamu, Natulia na kuvuta chochote ninachohitaji kuja kwangu.”

Jipe muda kidogo na tazama kwa hisia/fikra mwanaume/mwanamke unavyotaka iwe. 
  • utajiri? 
  • Nguvu? 
  • Urembo? 
  • Mvuto? 
  • Ufahari? 
Fanya hivyo kwa muda wa siku saba zenye mwezi, kuwa muwazi zaidi kwa hicho unachotaka kuomba.

Kwa mfano pesa! 
Basi ndani ya hizo siku saba, utaona mabadiliko makubwa kwenye mzunguko wako wa pesa. na hicho ndicho kitakachokupa shauku na tamaa zaidi katika kuomba kingine baada ya hicho!

Sukari inatumika katika muujiza na hirizi ya:

  • kuita mpenzi,
  • kuita rafiki,
  • kuvuta pesa,
  • kuongeza uwezo wako wa mvuto wa vitu,
  • kuongeza urahisishaji wa mambo yako,
  • kumaliza ugomvi,
  • kuwa mwenye kuvutia zaida merembo au mtanashati!

Kumbuka

Kuwa makini unapochoma sukari hiyo (kumbuka hii kwa kila unachokichomea sukari!)
Kumbuka haifanyi kazi peke yake ina spell yake ukihitaji nicheck kwenye email yangu

Wasiliana nasi

Ikiwa ni mwenye kupendezewa na makala hizi, basi jihisi huru kuendelea kutufuatilia kupitia email lakini pia kama unahitaji mawasiliano yetu, tunapatikana kwa ajili ya misaada ya mfano wa makala hizi.

Unaweza kutupata kwa kupitia Email, vile vile kwa namba za simu, kupitia fomu ya mawasiliano katika tovuti yetu. Msaada wa kirafiki zaidi unatolewa na team yetu ya huduma kwa wateja na kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo,

Ikiwa una maswali kuhusu makala zetu pia unaweza kuacha kwenye comment katika makala husika na kama ni huduma ya msaada wa tiba za kiroho au ushauri ama unahitaji kuagiza ama una suala lolote lingine basi tupo kwa ajili ya kutoa msaada pia.

Usisite kuwasiliana nasi kwa hekima za mawasiliano nifuraha yetu kusikia mahitaji ya wateja ama rafiki wa tovuti zetu za unajimu na RakimsSpiritual na tunatoa huduma nzuri za kumridhisha mwenye shida ikiwa tu atakidhi vigezo vya kuwa mteja ama rafiki wa tovuti hizi asante.

Na kwa maswali ya dharula kuhusiana na makala zetu kwa Members pekee;

Jihisi huru kututafuta masaa 24 ya week kupitia:-


Rakimsspiritual@gmail.com

au

mnajimu@unajimu.com


WhatsApp number


+255 783 930 601


Rakims

Chapisha Maoni

14Maoni

  1. nimekuelewa ila ngoja niendelee kwanza

    JibuFuta
  2. Majibu
    1. Habari wasiliana nami kupitia +255 783 930 601 namba hii pekee sihusiki kwa namba yoyote nyingine mkuu

      Futa
  3. Sijaelewa na uwepo wa hilizi ni juu ya kuita nini apo Doctor?

    JibuFuta
    Majibu
    1. Nguvu ya sayari husika inayohusika wakati unafanya zoezi hilo

      Futa
  4. Hujatupea email mi mi mkenya

    JibuFuta
  5. Naeza pata aje hio sukari

    JibuFuta
Chapisha Maoni

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !