Mahusiano Kinyota Mashuke na mapacha (Virgo and gemini )

Rakims
0

Yeye ni mwenye asili ya upepo wa kawaida yaani pumzi na wewe una asili ya udongo wa mwekundu nyie wawili mnaendana kwa asilimia 40% tu na hiyo ni kwa sababu nyote wawili mmechangia sayari moja katika hali zenu ambapo inapelekea kuwa vizuri katika;

1: Mawasiliano na Utambuzi wa akili = 80%
2: Hisia = 55%
3:Kusaidiana na kuthaminiana =40%

Lakini kwenye uaminifu na tendo la ndoa ni 2% kitu ambacho kinabeba mahusiano na ndoa huwa ni uamiifu na tendo la ndoa ambacho kwenu kimebeba asilimia 60% hiyo ni kwa sababu kila mmoja kati yenu anasifa ya kutawaliwa na akili mbele hisia nyuma.

Hapo ndio mwisho wenu hutokea zinapoanza kufanya kazi akili zaidi kuliko hisia.
Na hata mahusiano yenu yanavyoanza utaona kila mmoja anakuwa na doubt kuhusu mwenzie
wewe ni mtu unaemchukulia yeye kama ni mtu ambaye akili yake haijakomaa yaani unakuwa unamuona mdogo kiakili haijalishi kama umewahi  kumwambia au la hilo ndio linaloendelea mara kwa mara katika akili yako

Kujihisi kuwa unaweza kumlea.



Tukirejea kwake yeye anakuchukulia kama mtu ambaye mfano wake ni fimbo iliyochomekwa kwenye tope yaani habadiriki kimawazo wala maamuzi yaani kiswahili rahisi anaweza kuanza kukuona kama kisiki.

Jinsi wewe unavyotumia akili yako katika kumchambua na kumtakia mambo yeye atakuwa anaona kama ni mtu ambaye humjali.

wewe ni mtu mwenye kutaka sana kutizamia mifano ya maisha ya watu na mitizamo yako huwa tofauti na yeye.

Na unapomtizama yeye unaona ni mtu mwenye maisha ya juu juu na mwenye kupenda kupoteza muda katika mambo ya kijamii kama mitandao ya kijamii.

Na pia mara nyingi utakuta wewe ndio hujiona muhimu zaidi inapokuja kwenye mtizamo wa yeye.
 wakati yeye unakuwa ni mtu usiye na busara inapokuja kwenye swala hilo.

Shauku yenu kwa kila mmoja itakuwa ni ya chini na maisha yenu ya kingono(tendo la ndoa huanza kupooza mapema tu.
Na yeye ataanza kuangalia mahusiano ya nje.
Kama kawaida yake kiroho huwa tunamuita sura mbili.

SEHEMU ZA HISIA

Ukitaka kuwa nae hivyo hivyo basi fahamu sehemu zake za hisia ni mikono na mabega yeye hupenda sana kupapaswa mikono na mabega zaidi hata ukiwa mbali utaona ni mwenye kutaka kuwa karibu na wewe na hata ukimrudia utaona ni mwenye kutaka kukusogezea sogezea mikono.
ni jambo dogo lakini ni kitu kinachomfanya akuone kama mfalme.

Fanya hayo kumfurahisha lakini hutampenda nje ya hapo ndivyo kama nilivyokueleza

Wasiliana nasi

Ikiwa ni mwenye kupendezewa na makala hizi, basi jihisi huru kuendelea kutufuatilia kupitia email lakini pia kama unahitaji mawasiliano yetu, tunapatikana kwa ajili ya misaada ya mfano wa makala hizi.

Unaweza kutupata kwa kupitia Email, vile vile kwa namba za simu, kupitia fomu ya mawasiliano katika tovuti yetu. Msaada wa kirafiki zaidi unatolewa na team yetu ya huduma kwa wateja na kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo,

Ikiwa una maswali kuhusu makala zetu pia unaweza kuacha kwenye comment katika makala husika na kama ni huduma ya msaada wa tiba za kiroho au ushauri ama unahitaji kuagiza ama una suala lolote lingine basi tupo kwa ajili ya kutoa msaada pia.

Usisite kuwasiliana nasi kwa hekima za mawasiliano nifuraha yetu kusikia mahitaji ya wateja ama rafiki wa tovuti zetu za unajimu na RakimsSpiritual na tunatoa huduma nzuri za kumridhisha mwenye shida ikiwa tu atakidhi vigezo vya kuwa mteja ama rafiki wa tovuti hizi asante.

Na kwa maswali ya dharula kuhusiana na makala zetu kwa Members pekee;

Jihisi huru kututafuta masaa 24 ya week kupitia:-


Rakimsspiritual@gmail.com

au

mnajimu@unajimu.com


WhatsApp number


+255 783 930 601


Rakims

Chapisha Maoni

0Maoni

Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !