🌟 Jinsi ya Kufanikiwa Kinyota 🌟
Makala hii itakufundisha jambo ambalo linaweza kubadirisha mlolongo wa maisha yako kwa njia moja au nyingine ikiwa utafuata vema na kutilia maanani kisha ukatendea kazi.
Maswali ya Kila Mtu Maishani
Kila mtu katika maisha hufikia kipindi na kuanza kujiuliza maswali kama yafuatayo:
- Ni lini na wewe utakuwa mtu mbele ya watu?
- Rafiki mbele ya marafiki?
- Mwenye pesa mbele ya wenye pesa?
- Msemaji mbele ya wasemaji?
- Mfano mbele ya mifano?
- Tajiri mbele ya matajiri?
- Mwenye kutoa huduma mbele ya wahudumiaji?
- Mwenye kuoa mbele ya wenye ndoa?
- Mwenye kuibuka mbele ya walioibuka?
- Mwenye kutamanika mbele ya wenye kutamanika?
- Mwenye kazi mbele ya wenye kazi?
- Mwenye kukubalika mbele ya wenye kukubalika?
- Mwenye Miujiza mbele ya wenye Miujiza?

Kuanza Safari
Acha kujiuliza na utende leo. Ninachoenda kufundisha hapa kwenye makala hii kitamnufaisha kila mmoja kwa level zote za maisha...
Nifuatilie katika makala hii ili kujua ninachozungumzia.
Mwanzo wa Uumbaji
Kabla ya kuumbwa mwanadamu na vyote vilivyopo, ilianza kauli ya Mwenyezi Mungu “Kun faya kun”. Wakristo nao wanaamini kuwa hapo mwanzo kulikuwa Neno. Wanaosema dunia ni mkusanyiko wa maada pia wanakubali kuwa kulikuwa na nguvu ya uumbaji.
Elements Kuu
- Moto
- Upepo
- Maji
- Udongo
- Roho
Kanuni Kuu
- Huwezi kupata udongo bila roho.
- Huwezi kupata maji bila udongo.
- Huwezi kupata upepo bila maji.
- Huwezi kupata chochote bila chanzo.
Ukumbuke: Chanzo chako ni roho, na mwisho wako ni roho.
Madini na Mawe Saba
Aina za Madini
- Lead / Risasi
- Tin / Bati
- Iron / Chuma
- Gold / Dhahabu
- Copper / Kopa
- Brass / Shaba
- Silver / Fedha
Aina za Mawe
- Diamond
- Ruby
- Emerald
- Sapphire
- Pearl
- Onyx
- Turquoise
Mbadala wa Mawe
- Garnet
- Agate (Aqeeq)
- Moonstone
- Amethyst
- Quartz
- Tourmarine
- Peridot
⚠️ Onyo
Kuvaa mawe na madini usiyoyajua ni sawa na kucheza kamari. Unaweza kufaidika au kudhurika vibaya. Wengi wanadhurika kuliko kufaidi. Jiepusheni na kuvaa bila maarifa.
Maelezo ya Madini Moja Moja
1. Madini ya Risasi
- Utawala: Malaika Cassiel (Jumamosi), Jini Abuu Nuhu (Maimuna).
- Sayari: Saturn (Zohari).
- Hutoa wepesi, ufanisi, kinga dhidi ya hila, huzuni, husda, na aura mbovu.
- Huwapa wavaaji hekima, kuondoa woga, na kuimarisha muonekano mbele ya watu.
2. Madini ya Bati
- Utawala: Malaika Sarfayail (Israfil), Jini Shamhuurush.
- Sayari: Jupiter.
- Huvutia elimu, utajiri, miujiza, maendeleo.
- Huwasaidia wanyonge kupata ufanisi na walimu kuongeza maarifa.
3. Madini ya Chuma
- Utawala: Malaika Samsamail (Izrael), Jini Abu Muhriz.
- Sayari: Mars.
- Hushinda vita vya kimwili na kiroho, kuondoa mikosi, kushinda kesi, na kuimarisha mapenzi.
4. Madini ya Dhahabu
- Utawala: Malaika Rukayail, Jini Madh’habu.
- Sayari: Jua.
- Hutumika kwa nguvu, utajiri, siasa, na kuongeza mvuto wa wanawake.
5. Madini ya Kopa (Copper)
- Utawala: Malaika Anyail, Jini Zawbat.
- Sayari: Venus.
- Huvutia mapenzi, heshima, sauti nzuri, na muonekano wa mvuto.
6. Madini ya Brass (Shaba)
- Utawala: Malaika Mikaiil, Jini Burkaan.
- Sayari: Mercury.
- Hupatia akili nyingi, fasaha, kipato, na uwezo wa kuona mambo ya kiroho.
7. Madini ya Silver (Fedha)
- Utawala: Malaika Jibril (Gabriel), Jini Marah.
- Sayari: Mwezi.
- Ni kinga yenye nguvu dhidi ya vijicho, nuksi, na husda.
- Huwapa wavaaji furaha, mapenzi, safari, na riziki.
Faida ya Kujua Nyota
Nyota ni kiini cha mafanikio ya kiroho. Zile nyota zinazotolewa kwenye magazeti ni makadirio tu (49% accuracy). Kujua nyota zako halisi hukupa mwongozo wa maisha.
📩 Wasiliana Nasi
Ikiwa unapendezwa na makala hizi au unahitaji msaada wa kiroho, wasiliana nasi:
- Email: Rakimsspiritual@gmail.com
- Website: Unajimu | RakimsSpiritual
- WhatsApp: +255 783 930 601
Rakims