Punda na Ndoo
(Aries and Aquarius)
.jpg)
UtangamanoWawili hawa ni wenye kufaa vizuri katika hali ya joto yaani mapenzi moto moto— wote wawili ni wenye kujituma kimapenzi, wana upendo mpana wanapokuwa kwenye mahusiano, tamaa za kufanya mapenzi zipo sawa, na hata maajabu yao chumbani ni sawa.
Hii inategemea na mshtuko wa mihemko kwa pande zote mbili, Ndoo anaweza au asiweze asimuache Punda kuongoza mapenzi yao.
Lakini pia huwa ni mwenye kutokujihisi kama kalindiwa moja kwa moja mapenzi yake, asili ya Punda huwa haamini mtu zaidi ya nafsi yake mwenyewe na ndicho kinachomuokoa na majanga mengi.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims