Punda na Nge
(Aries and Scorpio)

Utangamano
Mapenzi yanaweza kuwa moto mkali kwa wawili hawa. Kwa maana Punda ni moto wa jaha na kulipuka kama gesi na nge ni maji ya moto yenye kutokota hivyo Wote wawili ni wenye matamanio ya kimwili, nguvu na shauku.
Katika kufanya mapenzi kila kitu kitahitajika kuwa sawa jambo ambalo litawashinda ni katika kuelewa hisia za kila mmoja kwa mwengine, hicho ni kitu ambacho hawaendani wala hawawezani.
Kila mmoja ana nguvu ya kutaka kuweza kummiliki mwenzie au kumtawala haijarishi ni kiasi gani Punda atataka ajifanye msanii kuvumilia hili lakini punda ni Punda tu dakika yoyote moto wa gesi utawaka tu hata juu ya maji ya moto, waliowahi kudate na Punda hapa watakuwa wanaelewa namaanisha nini.
Mwishoni, Wivu mkali wa nge hautamsaidia kitu na hautafanya kazi kwa Punda, na hasira za punda humpelekea kuanza kuangalia wapenzi nje kitu ambacho kitamfanya Nge kujihisi halindiwi mapenzi yake na kutoa udhalimu wake nje.
Jambo lingine ni kwamba Punda hawezi kukubali kuachwa nyuma kwa usaliti na yeye atalipiza mara mbili yake.
Mapenzi baina ya Nge na Punda ni wapambanaji wawili ambao hakuna mtu atatia neno wamuelewe au wamsikie hawa ni sawa na ya ngoswe muachie ngoswe maana wote hushea sayari Moja na sayari hiyo ikianza vita basi hamna wa kuvizima zaidi ya wao kutengana kila mmoja kuangalia uelekeo wake na chuki kutawala kati yao.
Haya ni mahusiano yasiyokuwa na future yoyote zaidi ya mateso kama upo bora ujiengue bado na mapema kuliko kuja kujuta majuto ya maisha. This is an unstable partnership with a low ignition point.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims