Mahusiano kinyota Ng'ombe na Mbuzi (Taurus and Capricorn)

Rakims

Ng'ombe na Mbuzi 

(Taurus and Capricorn)

Utangamano

Mbuzi ni Mwenza mwenye nguvu kwa Ng'ombe kwa maana wawili hawa wote ni wenye kuwa na mapenzi ya kweli na yaliyo nyooka mapenzi yao sio kama yale mapenzi yasioeleweka kwamba upo kama haupo.
Wawili hawa ni wenye malengo sawa na wenye kuwa na marafiki sawa yaani marafiki wa maana. Vile vile wote ni wenye ulinzi mzuri linapokuja suala la matumizi ya pesa.
Hawa wawili wanapokuwa kwenye mahusiano si wenye kuwa romantic sana lakini ni wenye kufanya tendo kiafya yaani wenye kuridhishana. Na wana lengo sawa kila mmoja na mwenzake.

Kwa kiasi Mbuzi ni mwenye usiri zaidi zaidi ya Ng'ombe, Ingawa ni kitu ambacho hakimpendezi Ng'ombe isipokuwa uaminifu wa Mbuzi ni jambo lenye kumvutia zaidi ng'ombe.

Na ng'ombe zaidi anavutiwa na uchesi usiotarajiwa wa Mbuzi. Mahusiano haya yanaahidi maelewano ya muda mrefu na watu hawa hudumu zaidi kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:


Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !