Ng'ombe na Ndoo
(Taurus and Aquarius)
Tunaishi tu basi mradi maisha yaende ni kauli inaweza kuwa katika kinywa cha mmoja wa hawa wawili.Wawili hawa ni baina ya Mashariki na kaskazini, Kati yao hakuna mwenye kumuelewa mwenzie.
Ng'ombe ni mwenye tabia ya kujihifadhi kwenye mahusiano haya, makini na mwenye kunyamazia mambo.
Ndoo kwenye mahusiano haya ni mwenye kubadirika badirika, mbunifu na mkali zaidi kwa maana uzuri ndio mashindano yake makubwa kwenye mahusiano haya.
Mahusiano haya yanazidi kutuonyesha kuwa Ng'ombe ni mwenye shauku na tamaa zaidi katika mahusiano haya na Ndoo ni mtu wa mipango na michezo ya akili. Ng'ombe humuwia ugumu katika kumtuliza Ndoo nyumbani na kuridhika na furaha ya unyumba. Ndoo anataka uwazi na kujieleza katika mahusiano na Ng'ombe anataka usalama wa mapenzi na faraja katika mahusiano, Aquarius mwenye tabia ya upweke huchukia dhana na tabia ya kufungwa fungwa hivyo hupelekea baadae yeye kumuondoka au kumtoroka mwenza wake kwa kumkosesha uhuru.
Mapenzi haya hayana muda mrefu.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
WhatsApp +255 783 930 601
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims