Punda na Kaa
(Aries and Cancer)

Utangamano:
Wawili hawa ni wenye kuvutiwa kila mmoja na mwenzie mwanzoni, lakini mvuto wa kufanya mapenzi hufifia mbele kulingana na tofauti nyingi za hasira.Aries (Punda) atakuwa na ulimi mkali ambao utakuwa ni maumivu makubwa kwa Kaa. Jinsi kaa anavyozidi kuwa mwenye kuleta fujo basi ndivyo Cancer (Kaa) anavyozidi kujihami.
Wawili hawa ni wenye kuendana kidogo tu mwanzoni lakini. Siku zinavyozidi kwenda Kaa anapokuja kuanza kurudisha mapigo basi moja kwa moja (Aries) utamuona anajiengua taratibu na kutafuta njia ya kuachana na Kaa.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims