Punda na Simba

(Aries and Leo)
Utangamano:
Wote wawili hawa ni wenye kuwa na Gubu ya kuchoma na wenye kupenda kuongoza. Punda mwenye fujo siku zote huwa hapendi kushika nafasi ya pili ikiwa ni mwanamke au mwanaume.Na mfalme Simba yeye hupenda kusifiwa mara kwa mara na kutukuzwa.
Wawili hawa huenda vizuri na pamoja ikiwa tu Simba atapewa nafasi yake ya kuwa Mfalme mkuu na Punda aweze kuwa Jenerali vinginevyo vita vya mapenzi ya ushindani vipo tu.
Ujanja hapa wa kuwezesha mahusiano haya ni pale ambapo kila mmoja wenu ataweza kukaa bila kumchukulia mwenzie serious sana kwa kila jambo.
Kwenye suala la kufanya mapenzi utaona ni watu wenye kuendana sana, hili ni kwa sababu kwanza kabisa wote ni wenye nyota za moto na mko romantic.
Punda ana matumaini na yuko wazi na teyari kwa maisha; Simba ni mkarimu na wenye moyo mwema. Kama mmoja wao atajaribu kumtia moto mwingine either kwa kutaka ushindani nani anamshinda mwenzie kwa kuonyesha mapenzi na kujali basi akianza mmoja utaona hii vita haiishi kila siku kila mmoja atakuwa ni mwenye kuja na jipya la kuonyesha upendo wa hali ya juu.
Na wawili hawa ni wenye furaha sana kwenye maisha yao.
Kwa maana hata wakioana mali ni nyingi kwao na mafanikio yako tu.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims