Mahusiano kinyota Kaa na Ng'ombe (Cancer and Taurus)

Rakims
KAA NA NG'OMBE



Mahusiano yenu ni sawa na huyu niliwahi kumjibu hapa. Hujakosea
Kama ulikuwa unatafuta mahusiano au ndoa basi kwa huyu unakuwa umepata kwa maana mnaendana kwa asilimia 95 na pia mnaendana kwa nafasi kubwa sana kama mnamahusiano tu kama ulivyosema basi muombe akuoe hata kesho kwa maana hapo hujakosea na upo sahihi sana pia wewe maji ya bahari na yeye ni mchanga hivyo kila mtu hufurahi na hupenda kuona bahari jinsi ilivyo mnaendana sana huyu anakubeba kwa asilimia kubwa na wewe unamtakasa kwa asilimia kubwa na watu wakiwatizama pamoja mnakuwa hamchoshi

kwa mtizamo mnaonekana nyote wawili mnahitaji ulinzi na mahusiano ya moja kwa moja na nyote mnapendana na mmeridhiana na wenye shauku.
ukimtizama yeye mara nyingi akikuona tu mihemko yake ya sex huamka na yeye ni mtu mwenye mapenzi kama ya kujidekeza kwa mahaba kwako.
Nyote ni watafutaji na wenye nafsi za kutafuta pesa na mafanikio yenu na pamoja mnaonekana ni wenye kupenda mazingira ya nyumbani na afya zenu na kujaliana.

Pia katika ndoa mnaonekana kuingia mlango wa 6 mlango wa huduma na afya ni mfano wa wale waliofunga ndoa ya kikristo kwamba hadi kifo kitakapo tutenganisha hivyo kwa kuhudumiana mpo vizuri na kwa kusaidiana vile vile mpo vizuri kila mmoja katika kumlindia mwenzie heshima yake.
Yeye ni mtu mwenye kupenda kuhudumiwa na kuonyeshwa upendo na wewe.

Yote kila muda huonana wapya au kama mnaanza upya na yoyote kati yenu akitaka jambo basi mwingine anakuwa ana supplier.

SEHEMU ZA HISIA
Sehemu yake ya hisia ni shingoni nimeshaelezea ufanye nini kama mwenza wako anahisia sehemu hii.

 NOTE:

Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:

Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !