Kwa mtizamo ni kuwa wewe una asili ya maji ya bahari na yeye ana asili ya maji moto hii inawaweka kuwa ni watu wenye kuendana vema kwani wewe humpandisha hisia na kumjaza hisia za upendo kwa maana yeye ni mtu wa nguvu na shauku nyingi na hii ni kwa sababu wewe unakuwa na sifa kuu ya uaminifu na ni mwepesi kuaminika, hiyo hupelekea kwa yeye mwenye asili ya wivu kuliko asili zingine 12 kuwa mwenye utulivu na kujihisi kwako kafika.
Unaonekana ni mtu mwenye kupenda pia ushupavu wake na yeye anakuwa ni mwenye kuamini kabisa kwamba wewe ukiamua au kuridhia jambo basi inakuwa ni mtu mwenye msimamo nyote wawili mnaonekana ni wenye hisia sana ambazo zinaweza kumkidhi mwingine.
Pamoja ni wenye uwezo mkubwa wa kujenga mahusiano yenu hadi watu wengine pembeni wakawa wanawaonea wivu mnaendana sana
Uhusiano huu una urafiki mkubwa,mtamu, na wenye kina kirefu.
Mambo yanakuwa mazuri tu kikubwa muda.
SEHEMU ZA HISIA;
Huyu sehemu zake za hisia ni sehemu za siri kama utajua jinsi ya kucheza nazo vizuri basi utamteka hadi kuzikana. Unaniwia radhi napata ugumu kuandika maelezo mengi ningekuelekeza jinsi ya kucheza nae pia swaum
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Wasiliana nasi kupitia:
WhatsApp +255 783 930 601
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
Rakims