NDOO NA NDOO
Aquarius and Aquarius
Habari kwa wewe na yeye nyote mnasimama mlango mmoja wa upepo wa kimbuga kuwa na pacha wa kiroho haimaanishi kwamba ndio kila ja mbo mtaendana hapana unaendana nae mengi isipokuwa nikitaka kukupangia kwa asilimia nitakwambia hivi;
Uchambuzi wenu unakuwa hivi;-
- Sex/tendo 50%
- Uaminifu 100%
- Maelewano 70%
- Hisia 40%
- Kuthaminiana 80%
- Kushirikishana 99%
Uchambuzi wenu unakuwa hivi;-
Mnaonekana ni wenye kupendezana na wote mnapendana, na wote mnakuwa na furaha za kila mmoja katika hali za ucheshi yaani kuna muda mnakuwa ni watu wa matani na mnakuwa mnafurahia matani hayo
Uvumbuzi wa baadhi ya mambo yenu mkiwa na maelewano au katika kusolve jambo mnakuwa ni wenye maelewano makubwa na yenye kuvutia mnaendana pia kingono na mnaendana katika matamanio yenu na pia nyote mnafanana katika mipango na uwekezaji mnakuwa mnaridhiana na mnaweza kuishia kama marafiki na kuwa wapenzi kisha kuwa wapenzi na kurudia urafiki na hata mkipishana kila mtu anafanya wajibu wake katika ndoa au mahusiano hamna vita zisizo na maelewano na vile vile jambo la kugombania mara nyingi mnakuwa hamna au sababu ya ugomvi mnakuwa hamna, na mara nyingi mnaweza kukaa mbali mbali na umbali kwenu sio tatizo katika ndoa au mahusiano yenu.
Nyote wawili huendekeza busara zaidi kuliko hisia kitu ambacho kinafanya muwe wa kipekee
Upendo wenu haupo deep sana mfano wa kuzama sana kwenye dimbwi la mapenzi lakini mapenzi yenu yanakuwa yanatoshana
SEHEMU ZA HISIA:
Sehemu zake za hisia ni sawa na zako yale unayopenda kufanyiwa utakuta na yeye ni hayo hayo anapenda kufanyiwa na sehemu zenu nyote za hisia zipo kwenye supu za miguu ya chini ikiwa umeshajua hilo au bado basi jaribu kufuatilia miguu ina nafasi kubwa sana katika hisia zenu na hata maumivu mara nyingi kwenu huwa ni miguuni.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims