Ruka kwenye yaliyomo

Ascendant ni nini?

 Ascendant 


Katika unajimu ascendant ni nyota inayochomoza wakati muhusika anazaliwa. Nyota hii mara nyingi humtambulisha muhusika kuwa ni mtu wa aina gani, Yaani mfano wake ni utambulisho wake binafsi.

Neno ascendant maana yake ni kuchomoza au kupanda kwa nguvu au ushawisho, Tafsiri ya Ascendant katika unajimu ni nyota iliyochomoza wakati mtu anazaliwa.

Nyota hii ni sehemu muhimu sana katika unajimu wako kwa maana hii kwanza taratibu zake ni kubadirishana mtizamo na nyota yako ya jua.
Maarufu kama nyota za tarehe za kuzaliwa, Kifupi hii ni nyota ya saa ya kuzaliwa au muda wa kuzaliwa,
Asilimia kubwa ya watu hawafahamu nyota hii hivyo kundi kubwa la watu unakuta ni watu ambao ni rahisi kwao kusema kuwa mimi sijitambui.

Hii Ascendant ni nyota ambayo inakuwakilisha muoneknao wako wa nje na kwa kiasi kikubwa hukujulisha watu wewe wanakuangalia vipi au ulimwengu unakutizama vipi wewe.

Nyota hii ina umuhimu mkubwa sana kwa mwenye kuijua kwa maana inakuonyesha wewe watu wanakutizama vipi na ni muongozo wa kuangalia unaweza kuishi vipi na watu na wao wanakutaka wewe uwe ni mtu wa aina gani.

Tunapoangalia kwenye ulimwengu wa sasa tunaweza kusema ascendant yako ni taratibu yako au msingi wako au tunaweza kusema ni utaratibu wako binafsi yaani picha yako kwa watu.

Ni nadra sana kukuta ascendant yako ndio dhamira yako au ndivyo ulivyo ndani yako isipokuwa ni watu wachache sana,

Hii ni fikra ambayo wewe unawawekea watu wengine wakuone pale unapokuwa umejitokeza au kuanza kuzungumza au kuonekana kwao.

Wanajimu wengi huamini kwamba nyota yako hii ya ascendant ndio nyota pekee ya haraka ambayo inaweza kukuonyesha au kutoa sifa zako zaidi kuliko nyota yako ya asili.

Nyota hii ya Ascendant inakufanya kuonekana kama mlango wa kuingia kwako ambao watu huuona kwanza kabla ya vilivyomo ndani. 

Ascendant ni nini?


Kwa mtizamo wangu mara nyingi hata nikikutana na watu ninao watazamia nyota nyota zao basi huwa napenda kwanza niwajulishe kuhusiana na nyota hii kwa maana hii ni nyota pia yenye nguvu ya kukuaminisha wewe kuwa ni mtu mwingine au kuwaaminisha watu hali ya kuwa sivyo jinsi ilivyo.

Nyota hii ina umuhimu wake lakini umuhimu wake sio kukubadirishia picha yako halisi. Nyota hii ni sawa na mavazi ambayo mtu anavaa kuwaonyesha watu talenti yake hali ya kuwa sio uhalisia wake.

Ukitaka kujua ukweli wako wa ndani kabisa basi nyota ya mwezi itakujuza zaidi kuhusu hilo, Ambayo ni maarufu kama moon sign,

Hivyo ascendant yako ilichomoza wakati wewe unazaliwa upande wa mashariki wa dunia wakati wewe unatoka kwenye tumbo na mama yako.
Hivyo inatambulisha mwanzo wa maendeleo yako ya kuanza kuishi kwenye hii dunia, Ambayo inakuonyesha pia ni jinsi gani utakavyo kuwa ukiendana na watu au kwenda sawa na watu wengine.

Katika kuheshimu nyota hii basi nyota hii inaonyesha ni jinsi gani wewe unajihisi comfortable kimwili na inakuwekea uhakika kwamba ni vipi unaweza kuendana na mazingira ambayo ni mageni kwako na yenye hisia au mitizamo tofauti. 

Ascendant yako huwa inaitwa nyota yako binafsi, yaani nyota ya binafsi na kujitambua kwako, kujitosheleza kwako na maslahi yako binafsi.

Kifupi ni mlango wako wa ubinafsi;- yaani hata mtu akikuita wewe ni mbinafsi basi angalia nyota hii utajua ubinafsi wako ni nini.
 
Kwa njia nyingi nyota yako hii huonyesha ushindi wako, Malengo yako na upinzani wako, na huashiria pia msukumo mkuu wa ubunifu wako.

Kwa viwango fulani hii nyota inaonyesha pia kuathiri tabia zako baadhi za kimwili na tabia za wazi. Hii ni kama mask yako ambayo watu huiona wanapokuangalia, Na kawaida ya mask huficha ukweli wa muonekano wa mtu.

Hii ni sawa na kumfikiria mtu tofauti na jinsi alivyo, lakini kwa uhalisia hii ni mfano wa mask yoyote ile kwamba ni sehemu ya sura yako kamili jinsi ilivyo.

Ni sura ambayo ni rahisi kuionyesha kiuhalisia ni namna gani wewe unaonekana kwa wengine.
Katika mchanganuo wa nyota yako ya Ascendant ufuatao chini ni mchangamanuo wake;

ARIES

Ikiwa wakati unazaliwa ascendant yako ilikuwa katika nyota ya Aries basi moja kwa moja fahamu ya kwamba ni mtu ambaye ascendant yako itakuwa inakuashiria taratibu zifuatazo;

Kwanza kabisa fahamu ya kuwa Punda ni nyota ambayo ina nguvu na Ikiwa kwenye Ascendant basi jua ya kwamba ascendant yako ina nguvu.
Ikiwa umezaliwa katika Ascendant ya Punda basi moja kwa moja wewe ni mtu Jasiri na Muanzilishi wa mengi.

Ni mtu mwenye kupenda kuchukua nafasi ya uongozi hata kama ni uongozi wa sehemu ndogo wewe hupenda kuwa kiongozi.
Mfano hata katika urafiki wewe ni mtu ambaye ndio unapenda kuamua ni wapi mkutane na sehemu gani muende kula au ni movie gani mkatizame.

Hata mtoto aliyezaliwa chini ya ascendant ya Punda anakuwa ni mtoto ambaye mbabe zaidi na mwenye gubu kuliko ndugu zake wengine.

Na mtu ambaye ana Ascendant ya Punda basi utamuona ana penda na kutopenda vitu kwa nguvu na hutamuona ana aibu ya kuvieleza hivyo anavyopenda au ambavyo hapendi.

Mambo yako huoenda kuyapeleka yakiwa yamenyooka na kwa uwazi ni mtu ambaye hupendi kupindishwa pindishwa katika mambo yako.

Hupendi uongo na uongo hukufanya ujihisi vibaya, pia udanganyifu na hasa mtu akitaka kukudanganya kwa namna yoyote ile basi wewe huwa mbogo.

Ni mtu ambaye hupenda kuelekea kwenye pointi husika moja kwa moja na unapenda kusema kilichopo kwenye fikra yako na kuona matokeo yake ni nini.

Ni mtu pia ambaye una shauku ambayo ina ambukiza, Ni mwenye kupenda kujishughulisha kuliko kufikiria tu, fikra na matendo ni vitu ambavyo kwako huwa unapenda viende pamoja.

Mwenye upendo, muwazi, na pia ni mtu ambaye mambo na maneno yako huonyesha uhai wake. Una marafiki wa kipekee na mara nyingi huwa wanakuwa katika vigezo fulani kwako.

Unapenda kuonekana, Ingawa muda mwingine huonekana kama mtu mwenye kuleta matatizo au mwenye kusababisha matatizo.
 
Nayo hii si kwa sababu tu wewe ni mkali hapana isipokuwa unapenda kutupa mambo yaliyopita na kufungua au kujaribu kurasa mpya ambazo zitaonyesha lengo kamili la jambo husika.

Una uwezo wa kuingilia kati jambo lolote au tatizo lolote na kuonyesha umahiri wako wa kulitatua, Inapokuja kwenye jambo lolote ambalo unaweza kulitatua basi changamoto yake huonekana ndogo kwako.

Ingawa ni mtu ambaye ikitokea ikiwa kikwazo hakitasonga hutaondoa kichwa chako, utaangalia pengine penye mvuto wa jambo hilo na kulipoteza ladha yake, Ni mtu ambaye ukifanya jambo likakwama basi hupenda kuachana nalo na bila kuendelea kulilazimisha.

Punda ni nyota ya mwanzo, hata kile ambacho wewe ni mwenye kukiweza basi kwanza huwa ni kazi. 
Una uchangamfu, ujasiri na nguvu. Mara tu unapojua kitu, ni mwenye kukishikilia hadi ujue ukweli wake na utendaji wake.

Wenye ascendant ya punda mara nyingi ni watu ambao ajali kwao ni kitu ambacho hakikwepeki nao ni udhaifu wao. Kwa sababu ni watu wenye msukumo, na wenye kukurupuka na kusikiliza kichwa, Ni mtu wakati mwingine huangalii unapoenda. 

Unaweza kukuta ni mwenye kujikwaa, kuanguka au kupiga vikumbo vitu, kudondosha au kujikata.

Ukiwa na ascendant hii tunaona ya kwamba mara nyingi wenye ascendant hii ni watu ambao mara nyingi huumia sehemu za kichwa kuliko sehemu zako zingine za mwili, Kama mtu mwenye ascendant ya punda tunaona kuwa ni mtu mwenye tabasamu la ukarimu, macho makali ambayo yanapepesa sehemu tofauti yani macho ambayo hayajatulia.


Rangi ya udhahabu au wekundu (majikunde) katika vinyweleo, ngozi au nywele, Mwili wenye misuli, pia ni mwenye kutembea haraka kidogo(hujivuti)
 
Sayari ya mirikhi ni mtawala wa nyota ya punda hivyo ukiwa nayo kama ascendant yako basi tunategemea ni maarufu sana kwenye chart yako hivyo inatakiwa kuangaliwa pia.

Sayari hii kwako inakupa nguvu kubwa ya uthubutu, stamina, msukumo mkubwa wa sex, na kutaka mafanikio pamoja na kujulikana.

Na pia hukuletea mkazo, mvutano, migogoro, ubinafsi, hasira ya haraka, na ajali kwa moto na vyombo vikali au vitu vyenye ncha.


TAURUS

There is a steadfastness, a basic calm about a Taurus Ascendant. If you have Taurus rising you tend
to be placid and easygoing. You also have charming social manners and a strong artistic bent, for the sign of Taurus is ruled by Venus, planet of love and esthetics. 
You want to create beauty and harmony in your life, and many Taurus  Ascendants have a flair for writing, decorating, or composing music.

Taurus-Rising people don’t push their opinions on others. On the other hand, once you make up your mind (after due deliberation), you rarely change it. You hold on to your opinions and can be very stubborn and obstinate. 

You are also quite set in your ways, though this is not always apparent at first. It’s the little clues that give you away: you may eat the same breakfast day in and day out;
if you are fond of a particular color (possibly in the blue or rose family, which are Taurean colors), you may use it repeatedly in your clothes and throughout your house. 

Doing things the same way you’ve always done them gives you a sense of stability, and this is a fundamental need.

Taurus-Rising people have a reputation for laziness that is not entirely deserved. It is true that you love creature comforts, elegance, luxury, physical ease, and lots of leisure. However, you can and do work very hard, especially if motivated by the promise of money or by the approval of someone you love. 

Determined, persistent, and strong-willed, you possess endless patience to see a thing through, to make it a success. Taurus is the sign of wealth and material possessions, both of which are extremely important to you. 

You have a tendency to brood about your future security: Will there be enough to keep from starving? Are you going to be able to pay the rent next year? The fears and worries do not require a basis in reality. In fact, though you may have to struggle for money when you are young, Taurus-Rising
people tend to accumulate wealth as the years roll by. 

Owning things can sometimes become a mania; you covet possessions and once you own something you guard it jealously and are heartbroken should you lose it. You never resign yourself to the fact that things break, tear, wear out, get lost, and are stolen.

In relationships, as well, you tend to be jealous and possessive, although you are adept at hiding this. One of your weak points is your vanity, and you rarely forgive anyone who ridicules you. Having to cope with rivalry is hard for you. 

You may try to pretend the prize is not worthy of your talents. As a person with Taurus rising, you tend to have an unusually good-looking face, large round eyes, and clear skin.

Often your neck is short and thick, and your body gives the impression of weight and sturdiness. Becoming overweight is a problem, especially in later years.

The planet Venus, which rules Taurus, is very prominent in your horoscope. The influence of Venus bestows grace; charm; a love of pleasure, art, and adornment; and social awareness. 
It also encourages overindulgence, superficiality, jealousy, and conceit.

GEMINI

Ascendant yako katika position hii inatuonyesha ni mtu ambaye una mwenendo wa kudumu yaani ni mwenye tabia ya kama ukianza jambo basi utaenda nalo moja kwa moja hadi mwisho wake kwa maneno mengine ni mvumilivu: 

Katika maongezi ni mtu mwenye kutumia mikono zaidi kama kuonyesha ishara, na macho yako ni macho yasiyotulia sehemu moja ni mithili ya mtu mwenye machale, Pia ni mtu ambaye sio mwenye kutuliza mwili hata akikaa kwenye kiti.

Ni mtu mwenye asili ya undani usiotulia au kupumzika ni mfano wa mtu ambaye mwenye kutaka kitu ambacho hawezi kukifikia.

Ni mtu mwenye kutaka mabadiriko na usiyependa hali uliyonayo kwa kipindi kilichopo, na ni mtu wa kuwa katikati ya mambo mengi na hata hii huonekana kwenye maisha yako ya kila siku. Pia unaweza kuwa na furaha na kukosa furaha kwa muda huo huo, Mwenye kuridhia na kutoridhika kwa wakati huo huo.

Bila shaka, Hii inaweza pia kuonekana kwa watu ambao wapo karibu na wewe lakini mara nyingi si kwa kuwa wewe ni watofauti hapana hii ni kutokana na hali ambayo unakuwa unapitia kwa kipindi husika.

Na mara nyingi sababu hiyo ikiwa ni pale ambapo wewe unakuwa umeishi katika maisha au hali ambayo itakufanya wewe kuwa katika hali ya kujihisi bado hujakamilisha jambo katika maisha yako.

Ni mtu ambaye umebarikiwa katika kauli zako pale ambapo ukisema jambo mara nyingi sio mwenye kuropoka isipokuwa husema maneno yale ambayo unakuwa umemaanisha.

Ni mtu ambaye una akili imechangamka na pia ni mtu ambaye upo mwenye msimamo katika maetendo yako, pia ni mtu wa kuhama sehemu si kwa kuwa umelazimishwa, bali ni vile unakuwa umefika muda sasa unataka kusonga mbele kutoka sehemu hiyo moja kwenda nyingine.

Wenye ascendant hii katika kuzaliwa kwao basi ni watu wenye kufanya vizuri sana kwenye maisha yao hasa katika position ya Uigizaji, uandishi pamoja na kipengele cha burudani, televisheni, journalism na hata mambo ya kuhusu hadithi za dunia.

Ni mtu ambaye una akili ya kusisimua ambayo haikuangushi katika kujibu kwa ufasaha chochote unachokuwa umeulizwa na pia ni mwepesi kukasirishwa.


Ni mtu mwenye kujituma katika shughuli unayofanya kwa kiasi kwamba unafanya mithili ya mtu anaehofia katika kumfanyia mtu jambo ili aweze kupendezwa nalo na kutokuonyesha kutokupendezewa na chochote ambacho unakuwa umekifanya.

Ufunuo kwako unaonekana kuja katika kipindi cha katikati ya maisha yako, Vile vile ni mtu ambaye unaweza kujiweka busy na mwenye kupenda kusolve mafumbo mbali mbali ya maisha yako, Ni mtu ambaye una roho ya kujitafuta ingawa pia watu wengine hukuona kama ni mtu mwenye kupenda kuongea sana.

Ni mtu mwenye kuonekana kutumia akili zaidi kuliko hisia katika mambo yako au lolote lile unalokuwa unalifanya.

Pia ni mwenye kupendezwa na kuchezea vitu ambavyo vinaweza kukushughulisha akili yako kama michezo, vitabu na computer na chochote kile kinachohusu michezo au maigizo ni vitu unapenda.
 

Mara nyingi wenye nyota ya mapacha kama ascendant yao mara nyingi huwa tunaona kuwa ni watu wenye hali fulani ya utaratibu katika muonekano wao.

Hata kama ni mtu wakati mwingine unaonekana kuwa ni mwenye kupenda watu na kuwa nao kirafiki zaidi.

Muonekano na mtizamo wako huwa unategemea zaidi kuwa ni wenye kutizama zaidi akili ya ulionao kuliko muonekano wao wa nje,.

Ni mtu pia mwenye kujihusisha na mahusiano jinsi ambavyo unavyotaka wewe kwa taratibu zako na kwa uchambuzi wako binafsi pasipo kufuata mikumbo ya watu wengine.

Una asili fulani ya gubu linalopelekea hali ya kiburi ambacho hukufanya wakati mwingine kuona kuwa wewe ni mbora zaidi kuliko watu wengine kwa kuwa ni mtu ambaye tunatarajia ni mwenye mtizamo wako binafsi hivyo unakuta ni mtu mwenye kujiona kuwa wewe ni bora zaidi kuliko watu wengine.

Ni mtu una uwezo mzuri wa kumudu katika kuwaendea watu wengine na katika hali tofauti na zao au mtizamo tofauti ni wao. 

Ni mwenye kusafiri ikiwa ni pamoja na kubadiri mienendo ya maisha na kazi na mara nyingi tunatarajia kuwa ni mtu ambaye utaingia kwenye ndoa zaidi ya mara moja, Ni mtu ambaye umebarikiwa na asili ya kuwa na drama katika maisha.

Unafahamu vema namna ya kulimaliza jambo unaloendea kwa utulivu na mtizamo wa hali ya weledi katika fahamu zako.

Ukiwa na ascendant hii tunatarajia kuwa unaweza kuwa na muonekano wa udogo(kuonekana na mwili mdogo) macho yenye hali ya kukapua kapua mara kwa mara na ambayo yenye kuonyesha ucheshi.

mwenye tabasamu la kirafiki, viganja na mikono yako ni mwenye kutumia zaidi kwa manufaa zaidi kwako.

Ni mtu mwenye kutembea upesi na mwenye kujitahidi sana kumaintain muonekano wako bila kujiachia na kuonekana ni mtu unaezeeka haraka. 

Sayari ya mercury (Atwarid) inachukua nafasi kubwa zaidi katika unajimu wako ambayo hii hutawala zaidi siku ya jumatano.

Basi hali zake kwako sayari hii na athari zake kwako zinakuletea maarifa makubwa mtizamo wa haraka na maamuzi ya haraka na ni mwenye uwezo wa kujifunza kirahisi kuongea na kuandika hata lugha za kigeni.

Pia kwa upande wa giza inakuletea kiburi, magomvi, kejeli, wasiwasi na mambo yako kwenda au kutokea wakati mwingine hali ya kuwa hujajipanga nayo.

Na hii ndio ascendant yako na maelekezo yake.

CANCER

If you have Cancer rising, you are very sensitive to emotional signals from other people. You have extraordinary insight into human motivation. 
There is a reserve about you that is sometimes difficult to penetrate, but underneath is a warm, affectionate, loving, and giving nature. 
You are adaptable to different kinds of people even though you are not liable to make instant friendships. 

It takes a while for you to let someone get really close. Cancer-Rising people tend to moodiness, and others may not always find you in a receptive frame of mind.
Sometimes you can be crabby and impatient and exhibit a snappish temper. You are touchy, and others have to be careful of what they say lest they hurt your feelings. Your sensitivities are so heightened that you sometimes take offense where none was intended.

However, this same sensitivity is what sets you apart from the crowd. You possess great imagination and awareness. Many Cancer Ascendants are extraordinarily gifted as writers, poets, and painters. Because you are so tuned in to the nuances of other people’s motivations, you are able to absorb what others are feeling and thinking.
You pick up opinions, thoughts, facts from all around you and, being very clever and practical (as well
as visionary), you are able to put all this information to work for you. Cancer Ascendants are also clever with money, prudent and cautious, and have a native shrewdness in business. You know how to make wise investments and where to get the best value. 

Though you usually have to climb the ladder through your own efforts (rather than the efforts of others), you are likely to accumulate material success as the years go by.

You won’t hog the spotlight, but on the other hand you want public recognition for your talents.With Cancer rising, acclaim and applause can be hard to come by, so you tend to have a way of feeling sorry for yourself. 

You complain that the world does not appreciate you, but your complaint is usually an effort to win reassurance that quite the opposite is true.

As a Cancer Ascendant you have obstacles in your path, especially when young. However, as you surmount each difficulty and succeed (Cancer Rising has great tenacity of purpose), you become stronger and more self-assured.

If you have Cancer rising, you are likely to have a round expressive face, pale luminous eyes, slender arms and legs, and a rolling gait to your walk. Your body may be thickset through the middle, and you are prone toward putting on weight as you get older.

The Moon, which rules Cancer, is very prominent in your horoscope. The influence of the Moon bestows kindness, imagination, sympathy, deep emotion, an ability to cherish and protect, a retentive memory. It also encourages laziness, inconstancy, restlessness, passivity, and untidiness.

LEO

Basi ukiwa na ascendant katika Simba fahamu ya kwamba wewe ni mwenye hali ya kuonyesha hadhi, Mwenye mawazo mapana, na mvuto wa asilia. Basi kwa mwenye nyota hii katika ascendant tunaona moja kwa moja.

Ni mtu mwenye moyo mkubwa, Wa thamani sana, mtegemewa na mwema mwenye faida kwa watu. Unaonekana ni mtu ambaye huvutiwi na wala kushawishika na mambo duni ya watu ambao wanakuwa ni wafinyu kiakili, kitabia na hata kimwenendo.

Pia hupendezewi na watu wenye kujiweka wanashida kuliko wewe, kwa kuwa ni mtu mwenye moyo mkubwa wa kuvumilia mengi, Basi ni vigumu kwako kuamini watu wengine kama wanashida kwa maana mara nyingi shida na changamoto zao wewe huona ni ndogo kuliko ulizopitia. 

Ni mtu unaeumizwa na ukatili na unyenyekevu, Hupendi kuona mtu akikufanyia au akifanyiwa ukatili au kushurutishwa kunyenyekea mtu.

Basi kwa kipindi ukikutana na Mtu ambaye atakuonyesha dharau na kutaka umnyenyekee basi wewe humuonyesha dharau ni kitu gani hasa na yeye hujikuta anarudi nyuma.

Ni mtu mwenye nafasi kubwa ya kuonyesha utu kwa watu wengine, Na unapenda kuonyesha ufahari, mfano kwenye mapambo ya hadhi ya juu nyumbani, Mavazi ya bei na hata katika kuandaa tukio basi hupenda kuandaa tukio la kifahari.

Ascendant yako pia inatuonyesha kuwa ni mtu ambaye watu wakikuangalia wanaona ni mtu una mambo ya ajabu, mwenye kujiona fahari, mithili ya kujiskia na hata kujiona mtukufu. Ingawaje huyo ni mtizamo wao kwako na hali ya kuwa ndani kwako wewe unaweza kuwa sivyo.

Ingawaje kujionyesha kwako ni kwa ajili tu ya kupata attention na heshima kwa watu; Hii ni kutokana na kwamba ni mtu ambaye unapenda tu ukiamua kufanya lako basi liwe la kishindo hasa.

Basi hadhi hii huwavutia wengine na kujikuta wakivutika na wewe bila kujua ikiwa ni pamoja na kukuwekea Nguvu kwa watu kama kukuhofia pamoja na kuwafanya wakuchukulie wa mfano.

Ni mtu ambaye umejawa bahati katika pesa, Kazi na hata marafiki, Wewe si mtu wa kujituma sana ili upate lakini unaweza ukafikia mafanikio na kuinuka pakubwa ukiamua kuanza kuinua wengine.

Umaarufu na bahati hukuijia kipindi ambacho wewe hata huvitafuti, Na una hali ya kuwafanya watu wengine wajitume kwa hali na mali hata bila kuwaambia kwa maneno.

Ni mtu ambaye unafurahia unapopewa uongozi au kusimamia jambo lolote, pia ni mtu unajihisi kama uliyejeruhiwa ukikosa uongozi.

Maana kuongoza lolote ni kitu ambacho kiuhalisia tu unajikuta unakipenda, Simba ni nyota ya Kujikweza. Hivyo unapokuwa na ascendant hii unaonekana ni mtu ambaye ni mwenye kuwa na haya kwa wingi. Unajiamini na una uthubutu na imani ndani yako.

Pia una dalili ya kupendeza hasa ukizingatia kwamba ascendant yako inatuonyesha ni mtu unatoa hisia tofauti kwa watu kwamba maisha ni furaha na si kinginecho. Una hisia ya ajabu ya ucheshi.

Ni mtu mwenye kupenda watoto kupitiliza na kuwaonea huruma lakini kwa bahati mbaya huwa unawaharibu watoto kulingana na huruma ya kuwaongoza iliyokutawala.

Ascendant yako inatuonyesha kuwa ni mtu mwenye kichwa kizuri kipana na chenye umbo zuri, nywele nene zinazong'aa, tabasamu la kupendeza na lenye ukali, hata meno, na kuzaa kifahari.

Wengi wenu ni wenye kupata faida baadae kwenye maisha kwa kupitia mirathi. Na njia yoyote unayochagua kwenye maisha basi ni mtu ambaye mwisho wa siku hufanikiwa tu. 

Jua ambalo ni mtawala wa nyota ya simba ni lenye kuangaza vema katika chart yako. Na athari zake basi hukuletea shauku, ukarimu, nguvu, joto, kujieleza kwa ubunifu, shauku, gubu na ujasiri. Pia inahimiza ubinafsi, majivuno, chuki, kujiskia, fahari, na kujishusha.

VIRGO

Kuwa na ascendant ya Virgo inakuonyesha kuwa ni mtu mwenye asili au tabia ya uchambuzi 

Ingawa mihemko yako ya uchambuzi inategemea na mitizamo mingine katika mzunguko wako mzima wa unajimu wako (chart yako nzima).

kwa ujumla ni mtu ambaye unategemewa kuwa na uwezo mkubwa hata wa kuchambua dunia nzima kupitia akili yako hii haimaanishi kwamba ni mtu kila jambo unatumia akili na huna hisia.

Hakika kinyume chake ni kweli,

ni mtu unaetegemewa kuwa ni mwenye kujali sana watu wengine. 

Hata hivyo, ni mchakato wa kufikiri kimantiki unaotoa wewe ni wenye kuridhisha ndani kabisa. 

Unashukiwa kuwa ni mtu mwenye kutoa mawazo ya akili na mwenye uwezo mkubwa wa kujua ukweli wa jambo.

Utambulisho wa amri na kutambulisha chochote ni uwezo ambao unao pia, yaani ni kipaji chako cha ziada na pia una muonekano mzuri wa kuwa muandishi bora wa habari.

 Ni mtu mwenye mawazo yasiyobadirika na ukitoa wazo lako unataka libaki kuwa ni hilo hilo na lisiweze kupingika.

Na kwa wewe adui au jambo usilopenda ni kupingwa au kutokusikilizwa ukisema kitu.

Kwako wewe dhambi kuu ni kutojua ujinga wa mtu. 

Kosa lako wakati mwingine ni kutoweza kwako kuweka mambo sawa, 

na kupoteza mtazamo wa picha kubwa yaani kujua jambo kwa undani zaidi. 

Unakuza umuhimu wa maelezo madogo na kisha kuwa na kinyongo ikiwa wengine wanaposhindwa kuona umuhimu wako.

Kazi ni muhimu kwako, na kwa kawaida hutimiza jambo kubwa sana katika uhai wako. 

Mara nyingi uko kwenye vita ndani yako mwenyewe yaani ni mtu mwenye kufanya debate na akili yako muda mwingine, kutaka mambo yaje kwa urahisi na kuhitaji kufikia kwa juhudi zako mwenyewe.

ni mtu mwenye udhibiti - katika mambo yote mawiili

Yaani binafsi na matukio—ndiyo yanayo kufanya ujisikie salama. 

Na matokeo yake unaonekana ni mwenye kupata mafanikio ya jambo lako mwenyewe bila kusikiliza ushauri au maneno ya watu wengine. 

Una uchangamfu na ni mtu mgumu kutawaliwa popote kimapenzi ama kiakili.

Wewe sio rahisi kila wakati kujiweka karibu na mtu. 

Na unaonekana ni mtu mwenye aibu na kujitenga (wakati mwingine kujificha vyema na mambo ya kijamii) lazima mtu akuchimbe sana ikiwa anataka kuwa karibu na wewe. 

Unaonekana ni mtu mgumu kuonyesha hisia zako. Ingawa uso wako huonyesha mengi yanayokuwa yanaendelea nyuma ya pazia kwako. 

Kama wakati upo mtoto, wakati mwingine ulikuwa unakabiliwa na kuwa na  afya mbaya kwa kukosa furaha. 

Na jinsi ulivyokuwa unaenda unakuwa basi ndivyo unavyozidi kuwa na afya njema na furaha, afya inaboresha kadiri unavyozeeka. 

Na pia kwako, mwenzi wa ndoa huleta mali au utajiri. 

na mara nyingi katika nchi ya kigeni ni mtu mwenye kuweza kupata mali na utajiri huko. 

Mafanikio kwako mara nyingi huhusishwa na shughuli za kuhama kutoka ndani na kusafiri hadi maeneo ya mbali na nyumbani huko ndio wewe huanza kufungukiwa na mafanikio.

Unategemewa kuwa na tabia ya kuwa mpole, uso wa mviringo, macho yanayozunguka chumba na kuingia ndani kila kitu yaani una macho ya uchunguzi, na mwili unaotoa taswira ya udhaifu

lakini wenye nguvu sana.

Sayari ya Mercury, ambayo inatawala nyota ya mashuke, ni maarufu sana

katika horoscope yako. 

Ushawishi wa Mercury hutoa akili yenye mantiki, nguvu kali za uchunguzi, kiakili

mtazamo wa nje, mtazamo wa maono na ustadi wa sayansi na uandishi.

Pia huchochea ugomvi, hali ya neva kujikuta ni mwenye kejeli, kutafuta makosa, na wasiwasi.

Huo ndio mtizamo wa ascendant yako

LIBRA

Tukikuangalia wewe hapa tunaona kuwa ni mtu ambaye una Ascendant ya Libra katika chart yako, Basi fahamu ya kuwa Libra ni moja kati ya ascendant nzuri sana yenye kupendeza mtu akiwa nayo na ni yenye usawa.

Tukikuangalia wakati unazaliwa ulichomozewa na Libra basi fahamu ya kwamba; ni mtu ambaye una mvuto wa asili, neema, na utulivu. Una mawazo ya kijamii sana na unafurahia kuwa na watu wengine katika mazingira ambayo kwako ni rafiki.

Sherehe, likizo, vicheko, furaha, na nyakati nzuri ndizo vitu ambavyo ni mtu hufurahia. Una mapenzi ya urafiki mkubwa na watu jinsia sawa na yako na mwenye matumaini mazuri katika urafiki wako na watu hao kwa siku zijazo lakini watu wenye fikra mbaya huhukumu kuwa unajihusisha na mahusiano ya jinsia moja(Ushoga).

Ni mtu ambaye haijarishi utakatishwa tamaa kiasi gani leo, Lakini ni mtu ambaye huwa na imani kwamba kesho itakuwa ni bora zaidi ya leo.

Ingawaje si kila mara una hukumu hivi, Moja ya matatizo yako ni kwamba ni mtu ambaye kwako ni rahisi sana kukatia tamaa jambo na kubaki na mfadhaiko.
Hasa hasa ukiwa karibu na watu wenye kukukatisha tamaa na kuvunja moyo, Fahamu ya kuwa haijarishi hawa ni kina nani kwako lakini wao ni sumu.

Mizani ni nyota ya usawa, na ni moja kati ya nyota ambazo hazitakubaliana na kuzidiwa upande mmoja tukiangalia zaidi kwenye roho yako ni mtu ambaye mwenye imani na matumaini, Ni mtu ambaye umezaliwa ukiwa na hisia ya haki sawa kwa kila mtu.

Au wote mpate na hakuna kinachokuumiza na kukuongezea hasira zaidi kama kuona haki haitendeki na kutokupewa haki yako. Ni mtu ambaye una udhika zaidi na ukatili, vurugu, kumwagika kwa damu, vita na kuzulumiwa.

Kwako wewe maisha ni utulivu na kuridhika, lakini zaidi ya yote, lazima kuwepo na haki. Mwenye ascendant hii tunaona kuwa ni mtu ambaye ni mwenye kujawa na usafi, nadhifu na mwenye roho ya ubaguzi kisiri.

Ni mtu ambaye mwenendo wako muda mwingine si rahisi kueleweka na wengine. Ubora wako wa kujitenga wakati mwingine ni vigumu kwa wengine kukuelewa, lakini bado ingawaje unajitahidi kujitenga na watu wengine lakini wao hawachoki kukufuatilia.

Unavutiwa na juhudi za kisanii na ubunifu, lakini wakati mwingine kipaji chako cha kisanii hubaki bila kutumika, kutokana na kwamba ni mtu hupendi mateso na kukifanyia kipaji chako kazi kwa bidii na unapendelea kuchukua njia rahisi.

Ni mtu ambaye huna haja ya kutafuta attention kwa watu lakini ingawaje hujikuta unapewa attention unapokuwa. Ni mtu ambaye huhangaiki kutafuta mafanikio.

Bahati kwako hung'aa zaidi unapokuwa na mpenzi, mwenza, mtu wa karibu, mshirika n.k.
Ni mtu unapenda kusafiri, kukutana na watu wapya, kufanya mambo mapya. Ni mtu unafurahia kujiweka karibu na maendeleo unapenda kujihusisha na biashara ambazo zina msisimko na furaha ndani yake.

Tatizo lako lingine ni kwamba huna uvumilivu mwingi, kwa hivyo mambo mengi kwako huwa hayamaliziki. Ugumu mwingine ulionao ni kuamua. Unapima uamuzi kwa uangalifu, huku ukibadilika-badilika kati ya hatua moja na nyingine; ukishaamua hatimaye bado unasita.

Hivyo ni mtu ambaye unakwama kulingana na kufikiria sana mara mbili katika kufanya maamuzi yako.
Kuna woga nyuma ya mawazo yako yote, hofu ya kurisk vitu kwako ni kubwa sana.

Huna furaha ukiwa single na unapenda kuingia kwenye ndoa.
(Hii haimaanishi kuwa ni mtu ambaye utakaa kwenye ndoa na mtu mmoja) 

Vipindi katika maisha yako yanayoendelea tunaona kuwa ni mtu ambaye utatajirika na utapata mali kupitia mwenza.
Kama sheria ni mtu ambaye kwako hutakuwa na watoto wengi lakini ni mtu ambaye utaridhika na utafurahi kwa wale ulionao.

Mwenye ascendant hii muonekano wake:

Ni mtu ambaye huwa na sura nzuri sana ya muonekano, muundo mzuri wa uso na wa ulinganifu wa mfupa wa kichwa, na tabasamu angavu.

Mwili wako kwa kawaida huwa umepinda au mviringo, ingawa si lazima kuwa mnene.

Sayari ya Zuhura ambayo ni mtawala wa Mizani, ni muhimu zaidi katika unajimu wako na chart yako ya kuzaliwa. Sayari hii kwako hukuletea ushawishi wa uzuri, mvuto, neema za kijamii, asili ya kimapenzi, kuthamini sanaa, muziki, na mapambo.

Pia upande wake mbaya huhimiza ujuujuu (superficiality), wivu, uvivu, kutegemea watu wengine utegemezi kwa wengine, na utashi dhaifu (Udhaifu wa maamuzi).

Hii ndio ascendant yako ikiwa una swali unaweza kuuliza.


SCORPIO

Katika ascendant yako inaonekana iliyochomoza ni Nge ukiwa na ascendant katika nge basi moja kwa moja unakuwa na mambo yafuatayo:

If you were born with Scorpio ascending, you
put the whole force of your personality behind everything
you do. You are not a halfway person. Rising-Scorpios
have an intensity, a dynamism that seethes and roils
under the surface. Your willpower and determination are
formidable.
Though you are sometimes viewed as a lone wolf, you
do have an ability to work with people—actually, to lead
people. You are strongly persuasive and zealously pursue
your goals, and in addition have the power to make others
pursue the same goals.
Clever, creative, and resourceful, your fertile mind
seems to be an inexhaustible source of ideas and suggestions.
Your brain behind your cool facade is always ticking
away. One of the things you must do is find out how
something works, to dissect it, study it, and put it back together
so that it works better. This is also true in artistic
terms; you can do great visionary work if you have Scorpio
rising in your chart.
As a Scorpio Ascendant you are happiest when you can
control from behind the scenes.You tend to be secretive and
reserved, and shun the spotlight because you can’t work
there unnoticed. If you are domineering, it is a subtle dominance,
a kind of mind control. Some people claim that they
are hypnotized by Scorpio Ascendants; it’s true that you
have a way of knowing what others are thinking.Much of
this comes from your acute powers of observation.You are a
charming, witty conversationalist, but the acute observer
will soon notice that it is the other person who is doing most
of the talking.You are usually quietly watching, waiting, observing—
filing away information that will be useful later on.
Rising-Scorpios have a reputation for a sharp temper;
the reputation is deserved.When crossed, you can be cruel
and biting. You tend to use any weapon at your disposal—
from ridicule to playing on a person’s fears. In the heat of
that moment, Rising-Scorpio must be the victor. Later, you
are remorseful for having dealt wounds, though it is extremely
hard for you to say so.
Scorpio is the astrological sign of hidden passion; Scorpio
Ascendants tend to have a secret love affair at least one
time in their lives, and usually marry more than once. Astrologers
have observed a strange pattern in which Rising-
Scorpios often lose their first spouse to death. They seem
to suffer more financial setbacks and disappointments
than other rising signs; but no other sign is more victorious
in the end.
As a Scorpio Ascendant you tend to have sharp features,
a prominent nose, and large, hypnotic eyes. Sometimes
your brows are thick and dark. Your body is agile and
moves decisively.
The planet Pluto, which rules Scorpio, is very prominent in
your horoscope. The influence of Pluto bestows powerful feelings
and emotions, a sense of purpose, persistence, determination,
plus the imagination and ability to make a successful
start in a new direction. This planet’s influence also favors
secrecy, suspicion, jealousy, and cruelty.

SAGITTARIUS

Tunapoangalia Ascendant yako ikiwa katika nyota ya mshale basi moja kwa moja tunaona kuwa;
Mwenye ascendant hii ni mtu wa kupenda Maendeleo na Uhuru. Huwezi kuvumila kukandamizwa na mitizamo ya kizamani au iliyopitwa na wakati, Hususani mpenzi ambaye ana misimamo migumu na kazi za kukuchosha.

Ni mtu mwenye kutaka kuendelea na pia mwenye matumaini kwa kila siku zilizopo usoni kwako; Vile vile ni mtu ambaye hukosa utulivu rohoni.
Ni mwenye tamaa ya kuwa na biashara yenye kuendelea na inayoishi kila siku, Vile vile ni mtu ambaye upo teyari kukubaliana na changamoto mpya, Wakati mwingine kutokuwa kwako na Subira basi hukufanya kueleweka vibaya.

Ni mtu ambaye Usikivu wako kwa watu wengine na hitaji lako la uhuru ni sehemu ya kuonyesha utu wako. Ni mwenye kuwapa watu wengine uhuru wao na ni mtu ambaye hupendi kuwanyima uhuru watu wengine. 

Wenye ascendant hii mara nyingi ni watu wenye sifa kubwa ya ubinadamu (Utu), wenye mawazo mapana na nia dhabiti ya kupambana na ukosefu wa haki kwa kutaka kila mtu apate haki yake.

Wewe binafsi ni mtu ambaye ni muwazi uaminifu na mkarimu kwa wengine na unaumizwa kwa urahisi unapokabiliwa na ubinafsi au ukatili wa watu wasiofikiria wengine wataonaje au kujiskiaje.

Ukweli ni kwamba ni mtu ambaye unategemea makubwa kutoka kwa watu wengine au mtu mwingine, Una uwezo mkubwa wa kutengeneza marafiki. Ni mtu ambaye upo wazi kupokea kila mtu mwenye hoja au wazo jipya.

Ni mwenye kupenda kuongea na kubadilishana mawazo wa watu wengine, Mtu mwenye ascendant yako basi tunaona kuwa ni mtu ambaye mwenye kuwa na sifa ya kupenda kusema ukweli (Ambao hupelekea wengine kujijua kuwa wamesimama wapi na wewe).

Ni mwenye kuvutiwa na utafiti, Umebarikiwa na kuwaza picha kamili akilini, maono ya mbele na fikra zilizo safi.

Unapenda kusafiri, kuona maeneo mapya, kujifunza ni vipi wengine wanaishi duniani. Kawaida ni mtu mwenye kusoma/kutambua mambo makubwa. kuangalia habari, kujiunga na majarida, kufuatilia habari mpya katika vyombo vya teknolojia, Kuzungumza na mambo yanayoendelea na marafiki.

Ni mwenye kupendelea maisha ya kawaida ambayo hayana vikwazo vingi na wajibu wa mara kwa mara. Unapenda pesa lakini sababu kuu ya kupenda pesa kwako ni maendeleo inayoweza kuleta, Unaogopa kwamba ikiwa utayachukulia mafanikio kwa umakini zaidi. basi maisha yatakuchosha.

Moja ya matatizo yako ni kushindwa kupima matokeo ya kile ulichofanya. Ni mtu mwenye msukumo lakini wakati mwingine ni mzembe. Kutenda zaidi ni kitu kikubwa kwako, hususani kufanya kitu wakati tatizo linapokuwa limetokea.

Huachi kila wakati kufikiria ni wapi shughuli zote unazofanya zinaweza kukuongoza. Ndoa kwako ni kitu muhimu sana kwenye maisha, Mwenye Ascendant hii ya mshale tunaona kuwa ni mtu ambaye mwenye kuingia katika ndoa na mtu ambaye si sahihi (Utaingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi).

Huenda ikakutokea mara moja katika maisha na kukosa raha ya mapenzi ambayo itakulazimu kujitoa mwenyewe kwenye ndoa hiyo.

Safari ni jambo kubwa sana kwenye maisha yako, na bahati kubwa kwako inaonekana kupatikana zaidi katika nchi za kigeni, Ukipata safari za nje ya nchi tunaona ni sehemu pekee ambayo unaweza kufungua sana bahati yako. 

Na hata hivyo wengi wenye ascendant hii basi ni watu ambao tunaona kuwa ni wenye kuishi maisha yao nchi nyingine katika miaka yao ya baadae (Huenda uzeeni).

Ukiwa umechomozewa na nyota hii wakati unazaliwa ni mtu ambaye tunaona kuwa na uso wa kupendeza, mchangamfu, paji la uso pana (Komwe), macho angavu, yenye ucheshi na tabasamu la kirafiki.
Ni mwenye kuonyesha vitu au kuelekeza kwa mikono au viganja, mwili uliyo kiutendaji zaidi.

Sayari ya Mushtara kwako ambayo ndio inatawala nyota ya mshale basi kwako ni sayari ambayo ni maarufu sana kwenye unajimu wako. 
Nayo hutawala siku ya Alhamisi katika wiki msukumo wa sayari hii kwako huleta bahati nzuri, furaha, ukarimu, maono makubwa, tabia za kijamii na kijinsia. 

Pia inakuletea msukumo wa kutotulia, kujifurahisha nafsi, majivuno, kukosa subira, ubadhirifu, na kucheza kamari.


CAPRICORN

If you have Capricorn ascending, you tend to have a serious turn of mind. One would not call you
melancholy, but you certainly aren’t frivolous. Cautious in your dealings, you are reluctant to commit yourself until you know the score.

With strangers you are often quiet, reserved, perhaps a bit shy. But once you open up you can be
lively, friendly, warm, and expressive. Capricorn Ascendants have strong personalities, possess
great willpower and determination, and diligently pursue their goals. 

These goals are usually for a better life— money, status, a higher standing in the community for
your family. It’s important to you to feel that your life is meaningful. You have self-esteem and are reliable, dependable, and stable. Sometimes, though, you will strive toward a goal and when you achieve it will still not be happy. 

You have a sense that something is missing, and you continue your search. You have an active mind with quick intelligence and an ability to concentrate. You can ferret out information, see flaws in a plan, map things out ahead in detail. 

Sometimes you may be accused of being too calculating, because you add up all the pros and cons before embarking on a project.

If an opponent has a weakness, you are also quick to spot it—and not entirely above using it to your advantage.

You tend to fuss over details to make sure all contingencies have been covered. It’s your way of being in control— you don’t want bad luck to catch you unprepared. 

Rising- Capricorns are worriers; in youth you worry about life, in old age about death. In middle age you worry about success.

It isn’t always easy for Rising-Capricorns to show their feelings, though powerful feelings do exist. You love deeply, are loyal and protective, and go out of your way to do kind deeds for others. However, you are often torn by jealousy and resentment (which you hide), and down deep you never really forgive someone who does you an injury.

What you achieve is mainly through your own efforts rather than through the influence of others. Though it happens that Rising-Capricorns seem to benefit financially through marriage, your own hard work within the union is largely responsible for your gain. 

With Capricorn Ascendants there is often a rivalry with brothers and sisters, or some kind of disagreement with their fathers.

As a person with Capricorn rising, you tend to have a small, well-shaped head, deep and penetrating eyes, and a beautiful smile with good-looking teeth. You have strong feet and usually enjoy walking or jogging.

The planet Saturn, which rules Capricorn, is very prominent in your horoscope. The influence of Saturn bestows discipline, ambition, patience, determination, good endurance, and thrift. It also encourages stubbornness, hardship, melancholy, aloofness, pessimism, and selfishness.

AQUARIUS

Kama una ascendant katika nyota ya ndoo basi moja kwa moja unakuwa unatazamika kama mtu mwenye kutengeneza urafiki kirahisi sana.
Mtu mwepesi kiakili na kufanya maamuzi, Muwazi katika mambo yako mengi wa hakika na mkweli zaidi.

Maelekezo au maelezo yako kwa watu mara nyingi huwa yamenyooka na hupendi kupinda pinda katika hoja zako, Pia ni mwenye kuelezea kitu au jambo kwa maelezo tu na mtu teyari akawa kashaiona picha kamili ya hoja yako.

Ni mwenye akili pana na mwenye uwezo mkubwa wa kugundua vitu mapema ikiwa ni pamoja na kufaa zaidi katika nafasi za uongozi.

Mara nyingi mtizamo wako kuhusu mazingira na dunia unaamini kuwa kama kwenye uongozi au mamlaka kungekuwa na viongozi sahihi, Basi moja kwa moja Dunia ingekuwa ni sehemu ya starehe na kila mtu kufanya mambo yake.

Hata mtu akileta wazo la uchochezi kwako huwa inakuvuruga ni mtu hupendi dhoruba na unapenda kukaa na watu kirafiki sana.
Na unapenda kuona mazuri kwa kila mtu na upo radhi kupitia wewe kila mtu awe ni mwenye furaha katika maisha yake ya baadae.

Ingawaje unaonekana kuwa na kazi ya kukutaka uwe ni mwenye haki na mpingaji, Hivi vitu unaonekana hata usipotumia nguvu basi huja kwako kiasilia.
 
Unaweza kukosa subira kwa watu ambao ni wenye kuvuruga au kupingana na Mitizamo yako ipo siku katika maisha yako utakuja kujikuta katika nafasi ambayo hata ukiulizwa ulifika vipi unashindwa kuielezea wala kujua ujibu nini.

Ni mtu mwenye mtizamo mkubwa na uwezo wa kutengeneza jamii mpya ambayo inaweza kwenda vile unavyotaka bila kutumia maneno na nguvu nyingi, Muda mwingine watu hukufuata kwa ushauri ambao huwa kama sheria kwao bila wewe kujua.

Matatizo na changamoto za wengine zinapokuja kwako huona ni kitu kidogo ambacho kinaweza kutatulia kwa muda mchache ambao mtu akitaka anaweza kuona bila ya wewe kumuonyesha kuwa shida au jambo lake ni dogo sana kwako.

Na hata wakati mwingine unaweza kuambiwa kitu na ukaonyesha hali ya kutabasamu japokuwa ni kikubwa ila ukachukulia kwa udogo.

Ni mtu unafurahi kuwa na what lakini hujiona kamili ikiwa utakaa mpweke au peke yako pia ni mtu muonekano wako wa nje huwa ni rafiki lakini ndani yako unaweza kuwa na gubu au kukasirishwa na jambo pasipo kumuonyesha mtu.

Unapenda kusafiri lakini ni mtu unafuraha ukiwa nyumba pia ni mwenye uwezo wa akili ya kisayansi pamoja na kisanaa bila wewe mwenyewe kujua.
Katika kazi yako mara nyingi hujikuta unajigawa sehemu mbili za kazi. Umaarufu kwako huja kirahisi sana kwako lakini pia unaweza kuondoka kirahisi sana umaarufu kwako kulingana na watu unaojichanganya nao.

Ni mtu unaandamwa na mambo mawili popote ikitokea heri kwako basi inafuata shari karibuni na ikitokea shari kwako basi inakuwa inakaribisha heri ni tofauti na watu wengi.

Ni mtu mwepesi sana kufanikiwa mirathi kama kwenu kuna chochote cha kurithi hasa vitu vikubwa zaidi, Pia ni mwenye kukereka mapema mtu akikufuata fuata sana.

Wengi wenu ni wenye kufanikiwa wanapofika katikati ya maisha yao kama umri wako ni miaka 90 basi mara nyingi mafanikio huanza kuona miaka 45.

Katika maisha ni mtu ambaye utaingia kwenye ndoa mapema kama hakuna complication ya kulogwa, ni mtu ambaye una akili ya kutengeneza pesa hata uzeeni ni mtu ambaye kustaafu kwako katika kujituma ni kitu ambacho hutapangilia kwenye maisha yako.

Marafiki kwako hukusaidia katika mambo ya kazini na mambo ya maisha pia, ziada ya maelezo ni kuwa ikiwa nyota yako ya kuchomoza ni Ndoo basi utaona katika muonekano wako ni mtu mwenye paji la uso pana (wide forehead), 
mifupa salama ya mjengo wa kichwa, macho kama ya kutangatanga na yaliyosinzia kiasi, na wengi wenu huwa ni warefu, sura isiyo na mvuto sana. 
(fine bone structure in your face, and dreamy, wandering eyes. Many of you are quite tall and
rangy-looking.)

Sayari ya Uranus ambayo ni mtawala wa Nyota ya ndoo ni maarufu sana katika unajimu wako binafsi athari za uranus nayo nguvu ya hapo inakuahidi maendeleo makubwa kama unataka maendeleo basi tizama Uranus ipo nyota gani na mlango gani ukizingatia basi maendeleo kwako si ya kuyalazimisha.

Pia urafiki, asili ya kwenu, kusogelewa na mizimu yenu, matumizi makubwa ya pesa na kuchukiwa bila sababu ni vitu kwako havikwepeki.

Kwa maana sayari hii pia inakuletea kupingwa sana, kutotabirika, muonekano wa kutokuwa na busara, kuonekana sio muwazi na mashindano ni vitu kwako watu huviona haraka wanapokutaka na wewe.
Hadi kuwaaminisha tofauti unakuwa umechukua muda kiasi.


PISCES

Ascendant katika position yako hii inatuonyesha kuwa, Ni mtu ambaye umebeba ndani yako majaliwa makubwa ya sanaa ambayo baadae au karibuni itaanza kujionyesha dhahiri au kujieleza yenyewe.

Una maisha ya ndoto njema na ni mtu ambaye una upendo kwa watu uliowazi yaani unapenda watu.

Mtu uliyezaliwa na ascendant hii basi moja kwa moja ni mtu ambaye ni mwenye kupenda maisha yawe kamili (perfect) ingawaje hayapo hivyo. Unachagua kutokuangalia kile ambacho hutaki kuangalia.

Ndani ya moyo wako wengi wenye nyota hii iliyowachomozea wakati wanazaliwa basi huwa wanaamini kimoyo moyo kuwa ni wapweke na ni majaliwa yao ni kuteseka na kukata tamaa. 

Muda mwingine watu wanaokuzunguka hukihisi hichi kitu kwako, Mara nyingi ni mtu mwenye kujihisi ulizaliwa sehemu ambaye sio sahihi na eneo ambalo sio sahihi na ni mtu wa kuvutiwa na mambo yaliyopita.

Kimsingi ni mtu ambaye mwenye nia njema na wengine, Na unapenda kuwa na urafiki sana, na hupenda kuburudisha(kumridhisha kila mtu), na kufurahia kufuatana na watu wenye uchangamfu.

Unapenda maisha mazuri - chakula kizuri - vinywaji vizuri sana sana, mavazi mazuri na kusafiri. Pia katika sherehe ni mtu ambaye ni mkali na mwenye matusi (unaongea sana ) pia ni mtu unapenda kufanya kitu watu wakiwa wanakuangalia.

Kipaji cha kuiga basi hukufanya kujikuta unavutiwa na kumbi za sinema, Neno hisia huja akilini wakati wa kukuelezea. Hisia zako huamshwa na hadithi za huzuni, wanyama waliopotea, watu wasio na furaha, pia mtazamo / muonekano wako hubadirika badirika wakati mwingine unakuwa na Mihemko na wakati mwingine huzuni. 

Hofu na mawazo ya uoga hukuchukua na wakati mwingine hukuzidi. Katika maisha yako ya binafsi (Faragha) huwa huna mpangilio, kiasi ni mtu usiyejali, mara nyingi hupoteza vitu au kukosea pa kuweka vitu vyako.

Katika kazi, una ujuzi na ubunifu na unaweza kuwa na nidhamu kabisa unapofanya kazi ndani ya kikundi, hasa katika miradi ya kisanii.

Pia umefanikiwa katika kazi zinazohusisha kuandika na kusafiri. na wengi wenu hubadiri makazi yao.

Mara nyingi hutokea kwa wenye ascendant ya samaki kwamba mtu ambaye alikuwa adui katika miaka ya mapema hugeuka na kuwa rafiki wa thamani baadaye. 

Wakati fulani unaweza kuwa na shida na ndoa ya kwanza kwa sababu ya wakwe (Ukweni) na jamaa zako (ndugu zako).

Mtu mwenye ascendant hii basi unaonekana ni mwenye kupenda sana watoto; watoto wako mwenye hukuletea wewe kuwa na fahari na furaha. 

Na kama una ascendant hii basi ni mtu ambaye utakuwa na macho mapana mazuri na yenye nuru na mdomo wa kuvutia, na una nywele za mawimbi pamoja na miguu yenye maumbile mazuri. 

Sayari ya Neptune, ambayo ni mtawala wa nyota ya Samaki, ni maarufu sana kwenye unajimu wako. nayo hukuletea ushawishi ambao unakufanya kwa upande positive kuwa ni mwenye huruma, hisia za kufikiria uzito wa mwingine (sensitivity), machale makali (kujua kitu kabla ya kuambiwa) picha za mawazo (imagination)  ubunifu, na kupendezwa na mambo ya kiroho na uchawi.

Pia inahimiza kwa upande negative kuchanganyikiwa (kuvurugwa), kutokuwa na uamuzi wa haraka, wasiwasi, kutokuwa na maana kamili, uzembe, na kujidanganya.

ASCENDANT NI HIZI


Rakims Spiritual
Imeandikwa na

Rakims Spiritual

Kufahamu zaidi pia niandikie kupitia Rakimsspiritual@gmail.com

Kuhusu Sisi →
Lebo:
Tunatumia cookies kuboresha tovuti yetu. Kwa kuendelea, unakubali matumizi yake. Soma zaidi
📱 Pakua App