MBUZI NA SIMBA
Capricorn and Leo Compatibility
Kwa mtizamo mnaonekana wewe mchanga wa pwani na yeye ni moto wa mkaa hivyo kwa mtizamo huu tu kuendana kwenu ni mtihani na itafikia sehemu kila mmoja ataangalia pengine kwa maana kinachowabeba ni maongezi tu yaani mnaongea vizuri lakini kwa kuendana ni asilimia 20 tu ambazo ni asilimia ndogo sana katika mahusiano ya watu.
Hivyo yeye mapenzi yake yanaonekana ni ya hali ya juu yaani ni mtu mwenye kuweza kukupa mapenzi ya gharama na kujitanua ambapo wewe utakuta ni mtu wa kujibana bana na tahadhari na utakuwa ni mwenye kumnyima uhuru mwingine.
Yeye anakuwa ni mtu huru lakini wewe unataka kujibana na utakuwa unamfundisha na kumlazimisha kujibana na kujinyima kitu ambacho kwa asili zote za moto huwa zinapingana nacho ambaye ni yeye.
Nyote wawili mnakuwa na mvuto kingono lakini mkiwa na tofauti za kimsingi.
yeye unakuta ni mtu mwenye kusambaza upendo lakini wewe unakuwa hutaki na pia hata katika tendo unaweza kukuta una jinsi unavyotaka na yeye hataki itafikia sehemu ataanza kukufikiria ni mchoyo wa mapenzi labda akifanya kitu utabadirika lakini anakuwa anajidanganye.
Wewe ni bahiri wa mapenzi kuyatoa na kugawa kwako vile unavyotaka.
Asili yake kwenye mapenzi ni mtu wa kutaka kutukuzwa na kusifiwa kwako inakuwa ni mtihani kumsifu mpenzi mara ya mara na hakuna kati yenu atakae kuja kukubali kuwa chini labda tu ni maigizo ya awali kisha baadae atageuka tu.
Mahusiano yenu mtatia nanga kabla hata ya meli kuanza safari.
SEHEMU ZAKE ZA HISIA;
Hisia zako zipo miguuni pamoja na hisia zako za kimapenzi na yeye hisia zake zipo moyoni na kwenye kifua chake sasa hapa utamuumiza tu.
Kila utakacho fanya utakuwa unaona haelewi lakini the time utafanya multiple dates ndio utajua wewe ni mwenye tatizo.
kama unavyojua mtu kukubali kuwa ni mkosefu kuwa ni mtihani kwenye mahusiano au ndoa wewe na yeye mnaingia mlango wa kwanza ambao ni mlango wa ubinafsi kila mtu kati yenu atajiona ni bora wa mwenzie
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims