Jiwe la Akiki (Aqeeq / Agate) – Historia, Aina, Faida na Bei

Rakims
Jiwe la Akiki (Aqeeq / Agate) | Historia, Faida na Bei za Vito

💎 Jiwe la Akiki (Aqeeq / Agate)

Jiwe la Akiki Aqeeq Agate

Katika makala hii nitakuelezea kuhusu kito cha Aqeeq (Akiki), faida zake nyingi, historia yake ndefu na kwanini ni maarufu duniani. Jiwe hili limekuwa maarufu pia kama pete iliyowahi kuvaliwa na Mtume Muhammad Swala Allahu 3aleyhi wasalam.

Pia nitakuonyesha faida zake za kiroho na kimwili, historia ya jiwe hili, bei zake sokoni na jinsi ya kutambua Akiki halisi. Kwa maelezo zaidi unaweza kuperuzi kwenye blog yetu: Rakims Spiritual.

🔹 Kito cha Akiki ni Nini?

Jiwe la Akiki (pia hujulikana kama Aqeeq, Agate, Achates, Aqiq au عقيق نبات) ni kito kinachotokana na familia ya Quartz.

Rangi zake hutofautiana, maarufu zaidi ni: Nyekundu, Kijani na Damu ya Mzee. Maarufu sana ni Akiki za Yemen ambazo zina ubora wa juu na thamani kubwa.

📜 Historia ya Jiwe la Akiki

Jina la Agate linatokana na mto Achetes katika kisiwa cha Sicily. Baada ya kugunduliwa, watu walianza kulitumia kama mapambo na kito cha thamani.

Siku hizi, Akiki bora zinapatikana Yemen (Yemen Aqeeq). Kutokana na uhitaji mkubwa, baadhi ya mawe bandia hutengenezwa China na kusambazwa kama halisi.

☪ Umuhimu Katika Uislamu

Jiwe hili lina nafasi kubwa katika dini ya Kiislamu. Mtume Muhammad (S.A.W.) alivaa pete yenye Akiki, na limekuwa likihusishwa na baraka, kinga na riziki.

Pete ya Mtume na Akiki

🌟 Faida 10 za Kuvaa Jiwe la Akiki

  1. Huleta faraja moyoni, nuru ya macho, kuondoa huzuni na msongo wa mawazo.
  2. Huchukuliwa kama kinga dhidi ya uchawi na maadui.
  3. Huongeza riziki (kipato).
  4. Huleta matumaini na mafanikio (kama ilivyosemwa katika Hadithi).
  5. Hukinga dhidi ya mateso na majanga.
  6. Kusali ukiwa na Akiki huchukuliwa kuwa na thawabu mara 40 zaidi.
  7. Ni bora kwa tasbihi na ibada, huongeza baraka.
  8. Huweza kuondoa umasikini na tofauti za moyo.
  9. Kama ikisomwa Surah Qadr ukiwa na Akiki, inaleta kinga siku nzima.
  10. Huleta majaliwa mema kwa Mwenyezi Mungu na kuondoa uhitaji.

🔸 Aina za Akiki

  • Yemen Aqeeq – damu ya mzee nyekundu, ghali na adimu.
  • Akiki Kijani – hutoa furaha na utulivu.
  • Sulemani Aqeeq – rangi tofauti: maziwa, kijivu, kahawia.
  • Onyx – mara nyingi nyeusi, tofauti na Akiki halisi.

📿 Sheria za Kuvaa Akiki

Hakuna masharti magumu ya kuvaa, yeyote anaweza kuvaa. Lakini ni bora kito kiwe kinagusa ngozi yako moja kwa moja kwa faida kamili. Sunna: kuvaa mkono wa kulia kwenye kidole cha pete.

💰 Bei za Mawe ya Akiki

Bei hubadilika kulingana na rangi, ukubwa na ubora:

  • Bei za bandia (China): $1 – $5 (plastiki / bandia).
  • Bei za kawaida sokoni (Ebay, Etsy): $40 – $90 (mara nyingi feki).
  • Bei za Akiki halisi: $80 – $200 (grade AAA, kutoka Yemen).

Kwa Akiki asilia kutoka Yemen au Abu Dhabi, unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja.

Pete za Akiki Original

📞 Wasiliana Nasi

Ikiwa unahitaji Akiki halisi, unaweza kuwasiliana nasi kwa:

📧 rakimsspiritual@gmail.com
☎ WhatsApp: +255 788 485 293

🌟 Rakims Spiritual 🌟

Tags

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !