Bidhaa za Kiroho
Ukurasa huu unaeleza namna tunavyozungumzia bidhaa na vifaa vya kiroho kama mawe, pete, mikufu, bangili, candles, herbs na vifaa vingine vinavyotumika katika mila, imani na tafakari.
Matumizi ya Vifaa
Vifaa hivi hutajwa kwa madhumuni ya elimu, utamaduni, imani na tafakari. Hatuhakikishi matokeo ya lazima kutokana na matumizi ya kifaa chochote.
Usalama
- Usitumie bidhaa yoyote badala ya tiba ya daktari.
- Usimeze au kutumia herbs bila ushauri wa mtaalamu.
- Epuka matumizi yanayoweza kuleta madhara ya mwili au akili.