Yakuti ya Njano (Yellow Sapphire) – Faida Kubwa na Nani Anatakiwa Kuivaa

Rakims

💎 Yakuti ya Njano (Yellow Sapphire)

Pete za bahati mali na mvuto

Yakuti ya Njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho, hasa katika maisha ya kila siku ya mwanadamu tangu zama za kale.

Pia ni moja ya mawe makuu katika mlolongo wa mawe 9 yenye thamani na matokeo yaliyokwisha jaribiwa katika Sayansi ya kiroho na kuonekana faida zake kwa uwazi.

Mara nyingi uthibitisho wake huonekana siku ya 6 tangu kuanza kutumika. Wahindi hufahamu jiwe hili kama Pukhraj, Push Raja au Peetmani.

🌟 Sayari Inayotawala: Jupiter

Jiwe hili linapewa nafasi muhimu sana katika ulimwengu wa kinyota na linaaminika kubeba nguvu za sayari ya Mushtara (Jupiter).

Jupiter ni sayari nzito zaidi katika Solar System na huwakilisha siri kubwa za kiroho na mafanikio. Yakuti ya Njano linachukua nguvu zake na kumpa mvaaji bahati na baraka.

✨ Mambo Yanayotawaliwa na Jupiter

  • ✔ Kuota maono na mambo yajayo
  • ✔ Kipato kuongezeka
  • ✔ Kupata urahisi wa mali
  • ✔ Urahimu, Akili, Upole
  • ✔ Mafanikio ya kiserikali na kibiashara
  • ✔ Kupona shinikizo la damu
  • ✔ Kung'ara kwa nyota na kuvutia uongozi

Nyota rafiki: Simba (Leo), Mshale (Sagittarius), Samaki (Pisces)

Madini ya kuvalia: Bati au Dhahabu (Pete, Cheni au Helani).

Mahali Yanapopatikana: Nigeria, USA, Cambodia, India, Thailand, Kenya, Nepal na Sri Lanka.

💎 Faida za Jiwe Hili

🌟 Humlinda mvaaji dhidi ya mashetani na uchawi.
🌟 Humpa furaha, tabasamu na mvuto mkubwa (hasa kwa wanawake).
🌟 Humrekebishia maisha ya ndoa na kumvutia bahati ya kupata mwenza.
🌟 Huwapa nguvu kimaamuzi, busara na heshima kubwa.

🌿 Yakuti ya Njano Katika Tiba

  • 💎 Hutibu maradhi ya figo
  • 💎 Huimarisha mifupa
  • 💎 Huondoa kikohozi na mafua
  • 💎 Huponya homa
  • 💎 Huzuia ajali za kizembe
  • 💎 Huletea utulivu wa akili
  • 💎 Hupunguza hasira na kununa hovyo
  • 💎 Humkinga na chuma ulete

👑 Wanaoweza Kuvaa

Wenye nyota ya Mshale au Samaki hupata faida kubwa zaidi.
Wenye nyota ya Kaa au Punda hupata kinga, baraka na kupanda cheo.
Wengine hupata bahati na kinga tu.

📿 Uvaaji wa Pete

✔ Kwa wanaume: kidole cha shahada (index).
✔ Kwa wanawake: mkono wa kushoto.
✔ Kwa Waislamu: mkono wa kulia kidole cha pete (Sunnah).

Siku nzuri ya kuvaa: Alhamisi asubuhi au siku za 1–7 za mwezi.

💰 Bei na Upatikanaji

Bei: 746,126.88/= hadi 2,066,197.50/= Tsh.
Ndogo sana: 390,281.75/= Tsh.
Bei rahisi (50,000–100,000/=) mara nyingi si pure (ni Zircon au Labcut).

⚠️ Angalizo

Jitahidi kupata Yakuti pure. Vinginevyo unaweza kuuziwa Zircon au Labcut zisizo na nguvu kamili.

📞 Wasiliana Nasi

Ikiwa umevutiwa na makala hizi au unahitaji msaada wa kiroho, tafadhali wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo:

🌟 Rakims Spiritual 🌟

Tags

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !