Mahusiano nyota ya Punda na Samaki (Aries and Pisces)

Rakims
Punda na Samaki

(Aries and Pisces)


Utangamano
Wewe ni moto wa jaha na yeye ni maji ya kisima, wawili nyie mahusiano yenu ni baina ya mbingu na ardhi achilia mbali tabia zenu za kinyota hata kuendana hamuendani kwa umbali na tofauti zenu za kinyota mmoja ni wa kwanza na mwingine ni wa mwisho. Ni sawa na mahusiano baina ya fukara na tajiri siku zote dharau huwa ipo tu.

Mtizamo:
Wewe ni mtu ambaye utakuwa  unalazimisha kumvuta nje ya kisima kwa maana makazi yake ni kisima, na wewe utalewa kwa maajabu yake na vishawishi vyake kimwili.
Wewe ambaye huwa ukipenda hutaki kuskia la mtu/shetani wala muazini na mwenye kujiamini kupitiliza basi kwa mara ya kwanza mnapokuwa nae kwenye mahusiano utaona huyu ndiye chaguo langu na nimepata.
 Tabia yako ya ujasiri na drama na ndoto zake huleta matukio mengi sana kwenye mahusiano yenu.
Mitizamo yenu kila mmoja ana mtizamo wa tofauti sana na mwenzie. 
Wewe ni mwenye kujipa uhakika wa mambo na muonekano wako wa sura unaonyesha ni wa kuvutia machoni kwa jinsia tofauti na yako. Yeye ni mwenye kuwa na aibu na mwepesi kuongozwa au kuamrishwa,
Wewe ni mwenye kupenda kutawala na yeye ni mwenye kupenda mtu wa kumtegemea yeani yeye ni mwenye nyota tegemezi. Ili kuweza kuwa couple yenye furaha hii inataka umakini zaidi kwako maana sote tunafahamu ni nini hutokea ukitumbukiza moto kisimani.
Hivyo kwenye dinya dinya utaona raha sana kuwa nae isipokuwa kuna maisha baada ya ngono.


NOTE

Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:

Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
            mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !