Punda na Mizani
(Aries and Libra)

Utangamano:
Kuna nguvu kubwa baina ya mvuto kwa nyota hizi mbili ambazo kila moja ni kinyume na mwenzie,Ambapo kwa hakika kila mmoja kati yao anaweza kupata kitu anachokikosa kutoka kwa mwingine.
Kwa maana fujo za Punda katika mahusiano ni mvuto mkubwa na kuamsha hamasa za uwezo wa kiakili kwa Mizani.
Maisha yao ya kimapenzi yanaweza yasiwe ya kawaida. Ingawa Mizani atataka amani, ukimya,kutokupaza sauti, na maelewano, Punda yeye mara nyingi hutaka vitendo na matukio katika mapenzi,
Wote wawili ni wenye kupenda maisha ya kijamii, burudani na starehe lakini wote wawili si wenye kutulia kila mmoja kwa upande wake,
Muda si mrefu Mizani ataanza kutafuta mtu mwenye matakwa machache, Na yeye Punda atatafuta mtu mtiifu na mwenye kumkidhia mambo yake ya ajabu ajabu.
Kama mnaingia kwenye ndoa na mpo na hali hii basi hakuna ndoa mbovu kama hii.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims