Huduma na Gharama
Kwa upande wa kuangalia, ili kuweza kukuangalizia kwa kawaida tunahitaji jina lako, jina la mama na tarehe yako ya kuzaliwa. Kisha gharama za utaratibu ni kama ifuatavyo:
| Huduma | Maelezo | Gharama |
|---|---|---|
| Nyota yako, bahati yako na mwili wako | Uchambuzi wa nyota yako, bahati na changamoto za kiroho kwa mtazamo wa tafakari. | 15,000/= Tsh |
| Kipato na vyanzo vya pesa | Mwongozo wa kutafakari uwezo wa kipato, matumizi, mali na kujipanga. | 10,000/= Tsh |
| Mawasiliano, ndugu na jamaa | Mwongozo kuhusu mawasiliano, ndugu, jamaa na mtindo wa kujieleza. | 10,000/= Tsh |
| Nyumba na mambo ya ukoo | Tafakari kuhusu nyumba, mizizi ya familia na masuala ya pande mbili za familia. | 15,000/= Tsh |
| Kizazi na mali | Uchambuzi wa kizazi, mali na mwelekeo wa ustawi. | 15,000/= Tsh |
| Afya, ustawi na huduma | Mwongozo wa kiroho kuhusu ustawi; si uchunguzi wala tiba ya kitabibu. | 10,000/= Tsh |
| Mahusiano na ndoa | Uchambuzi wa mahusiano, ndoa, partnership na utangamano wa nyota. | 20,000/= Tsh |
| Mabadiliko makubwa ya maisha | Tafakari kuhusu kuvuka vipindi vizito, mabadiliko na kujijenga upya. | 10,000/= Tsh |
| Safari ya maisha na sababu ya maisha | Mwongozo wa life purpose, vipaji na mwelekeo wa safari yako. | 30,000/= Tsh |
| Kazi na biashara | Tafakari kuhusu career, biashara, uongozi na fursa. | 10,000/= Tsh |
| Marafiki na msaada | Mwongozo kuhusu marafiki, network, jamii na msaada. | 10,000/= Tsh |
| Siri na changamoto za ndani | Tafakari kuhusu hofu, siri, kujikwamisha na changamoto za kiroho. | 20,000/= Tsh |
| Taratibu za kubeti | Elimu ya tahadhari na kujitathmini; hatutoi namba za uhakika au dhamana ya kushinda. | 40,000/= Tsh |
| Maisha yaliyopita, yaliyopo na yajayo | Usomaji mpana wa mizunguko ya maisha kwa tafakari. | 50,000/= Tsh |
| Unajimu mzima na ramani ya maisha | Uchambuzi kamili wa birth chart/ramani ya maisha. | 230,000/= Tsh |
Muhimu: Huduma hizi hazitoi ahadi ya matokeo ya lazima. Hatutoi tiba ya kitabibu, ushauri wa kisheria, ushauri wa uwekezaji, namba za kubeti za uhakika au dhamana ya kushinda.
Malipo ya Huduma
Lipa Namba ya Rakims Spiritual
Kumbuka: Malipo ya huduma hufanyika baada ya makubaliano ya huduma husika. Kwa michango ya hiari ya kusaidia tovuti, tumia ukurasa wa Changia Unajimu.
Appointment
Ofisi
Ilala, Bungoni karibu na Imperial Hotels and Apartments, Dar es Salaam, Tanzania
Muda
Jumatatu - Ijumaa, 11:00 - 22:00 (Saa Tano Asubuhi hadi Saa Nne Usiku). Siku nyingine ni kwa appointment iliyothibitishwa.