Mahusiano nyota ya Ng'ombe na Mizani (Taurus and Libra)

Rakims

 NG'OMBE NA MIZANI

Wewe utamuona yeye ni mwenye majoto katika mapenzi na mwenye kuwa na utamu wa mahaba na mwenza mwenye ladha ya kitofauti. 

Kiasili yeye ni wale watu wenye asili ya kuzaliwa na mtizamo wa mahaba yaani wanatawaliwa na sayari ya mapenzi,

Hivyo mvuto na hisia kali ni kitu cha kawaida sana kwao, tukija kwa wewe mwenye kiburi na mbishi katika suala la pesa wawili nyie ndio itakuwa utata kwa maana wewe una damu ya kibahiri 

Yeye sio mwenye kuheshimu pesa sawa na wewe jinsi ulivyo, Japokuwa nyote ni wenye kupendezewa zaidi na kuvutiwa na vitu vizuri.

NOTE:

Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:


Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !