GEMINI AND ARIES
Hii nguvu ya mahusiano iliyohai, mahusiano yenu tunasema ni watu wawili wenye nguvu sana katika mapenzi inakuja katika mahusiano.
kwa maana mnakuwa ni wenye urafiki mzuri lakini pia wapenzi wazuri yaani bora.
Mnaendana pia katika mambo mapya na wote mnakuwa na msisimko wa kila mmoja anaenjoy company ya mwenzie na kucheka pamoja, kama vile maisha ya kijamii.
Yeye atafanya tu maamuzi kwa kuwa wewe utakuwa kwenye ugumu katika jambo hilo.
katika mahusiano yenu mtakuwa ni wenye kupendeza hasa ukija katika suala la chumbani kila mmoja kati yenu anatamani kuwa juu ya mwenzie yaani yeye ndio amshughulikie mwingine.
Na yeye atakupa kile unachotaka mfululizo.
katika kutawala yeye atakuwa anakupa upendo thabiti unaohitaji na hii itasaidia katika tabia yako ya kutamani kuonja onja nje itapungua na kukufanya uwe madhubuti au kujikita na yeye.
Na vile vile ni mwenza ambaye baadae atakutawala sana akili na roho yako.
Unaweza usisikie la mtu.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims