Simba na Mizani

Upande wako (simba) wa ubunifu unaendana sana na yeye (Mizani) ambaye ni mwenye kuvutiwa na shughuli za kijamii sanaa za urembo.Wewe ni mwenye kuvutiwa zaidi katika mapenzi na yeye, zaidi ya yeye kwako lakini mtindo na ubunifu wako kwenye mapenzi ni rahisi sana kuweza kumpata yeye na kumtawala vema, Kwa maana yeye ni mgumu kufanya maamuzi na hivyo hapo wewe ni rahisi sana kuweza kumpata yeye kiutawala na hakuna kitu wewe hupenda kama utawala wa mapenzi.Mara nyingi hamta kuwa ni wenye kwenda sawa kwa maana wote wawili ni wenye kupenda sana vitu vizuri na vyenye kung'aa. Kila mmoja atataka kumzidi mwenzie ili kupata yeye atantion.Lakini kitandani wewe ni Master kwenye mahusiano yenu na hiki ndicho wewe unachopenda zaidi kuwa mshindi kitandani. hata umpe kidogo tu huyu ni mwenye kuridhika sana. Couple hii haina maelezo mengi isipokuwa kikubwa ni mna nafasi ya kuendana.
NOTE:Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims