Simba na Mbuzi
(Leo and Capricorn)

Kwa mtizamo mnaonekana wewe ni moto wa mkaa na yeye ni mchanga wa pwani hivyo kwa mtizamo huu tu kuendana kwenu ni mtihani na itafikia sehemu kila mmoja ataangalia pengine.
Hivyo wewe mapenzi yako yanaonekana ni ya hali ya juu yaani ni mtu mwenye kutapa mapenzi ya gharama na kujitanua ambapo yeye utakuta ni mtu wa kujibana bana na tahadhari na atakuwa anakunyima uhuru mwingine.
Nyote wawili mnakuwa na mvuto kingono lakini mkiwa na tofauti za kimsingi.
Asili yako kwenye mapenzi ni mtu wa kutaka kutukuzwa na kusifiwa kwa huyu ni mtihani kwako na hakuna kati yenu atakae kuja kukubali kuwa chini labda tu ni maigizo ya awali kisha baadae atageuka.
Mahusiano yenu mtatia nanga kabla hata ya meli kuanza safari.
SEHEMU ZAKE ZA HISIA;
Hisia zake zipo miguuni pamoja na hisia zake za kimapenzi na wewe hisia zako zipo moyoni na kwenye kifua chako sasa hapa utaumia tu.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims