(Aries and Capricorn)

Utangamano
Unaonekana ni mwenye asili ya moto wa jaha na yeye ni mchanga wa bahari kwa mtizamo huo hamuendani na mtaishia njia unaonekana ni mtu mwenye vionjo vya uvumbuzi na mwenye nguvu ya kutambua jambo au kuhisi kitu kinachoendelea na ikawa ni kweli kuhusu yeye.
hayo ni majaribio yanaweza yasimfurahishe yeye ambaye ni hafidhina.
Wewe ni mwenye kufanya vitu kupindukia na usiye na subira wakati yeye ni mtaratibu na mwenye kupenda usalama wa mapenzi.
Wewe ni mwenye kufanya vitu kupindukia na usiye na subira wakati yeye ni mtaratibu na mwenye kupenda usalama wa mapenzi.
Kama ni mtu una malengo ya kuwa nae kwa muda mfupi sawa, Lakini kwenye ndoa itageuka ndoana ndio utasikia watu tunakwambia mmekaa kwenye uhawara miaka 5 ndoa miezi mitatu imewashinda.
Hakuna maelezo mengi kwenye couple yenu zaidi ni heri uangalie pengine kwa maana nyie ni mataifa mawili ambayo hayaingiliani
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims