
wewe ni Maji ya moto na yeye ni mchanga wa pwani;
Hisia zako zote kali na zenye nguvu hukaribishwa na kutulizwa hapa.
Nyote wawili mnahusiana vizuri na mnaonekana ni wenye kuwa na mtizamo mmoja linapokuja suala la kimtizamo.
kwa maana nyinyi ni wenye tamaa moja, nia moja na mtizamo mmoja mnapoingia kindoa na kuwajibika pamoja kila mtu kwa nafasi aliyopo mna nafasi kubwa ya kufanikiwa kindoa kuliko uhawara hata mafanikio ya kiuchumi kubwa tu mnatakiwa kushirikishana na kuwa wawazi kila mtu kwa mwenzio ukifanya kitu usimfiche vile vile na yeye.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims