Ndoo na Punda
(Aquarius and Aries)
.jpg)
Utangamano
Wawili kati yenu kwenye haya mahusiano mnaonekana kufurahika na utani wa kila mmoja kwa mwenzie na michezo michezo ya utani nyote mnapenda,
Jinsi unavyokuwa unamfikiria na kumtengeneza katika fikra zako basi mara nyingi ndivyo yeye huenda na katika tendo la ndoa yeye ni mwenye shauku/hamu ambayo hukuvutia zaidi ambaye hupenda tendo la kweli lisilokuwa na maigizo,
nyote wawili mnaelewana matakwa ya kila mtu katika kuwa huru, na wala hamtakuwa ni wenye kubanana banana katika uhuru wa kila mtu, na vile vile ni watu wa kupenda adventure na interest za nje zaidi,
na sio wenye kupenda kutawaliwa au kusikia la mtu kwenye mahusiano yenu, ingawa yeye mara nyingi hupenda kuwa mwenye kauli ya mwisho kwenye mahusiano yenu.
Ikiwa utakubaliana nae awe ndio kiongozi kwenye mahusiano yenu basi utafurahia mapenzi lakini kama wewe ni mwanaume basi wanaume wote wana asili ya kupenda kutawala inapofikia hatua anampa mwanamke madaraka huona kama anatawaliwa ni wachache hukubali hilo. Future yenu ni nzuri ikiwa kila mtu atacheza vema part yake.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims