Mshale na Simba;
Katika mahusiano yenu wewe unaonekana ni mwenye asili ya moto wa nyasi na yeye ni moto wa mkaa mnaendana vema kila mmoja kati yenu anamuona mwenzie anamfaa zaidi.
Kuna mambo mengi ya kusisimua yatakayo kuja kuwatokea kwenye mahusiano yenu, yeye mwenye kujiamini inatoa uhakika kabisa kwamba atafungua hisia zako zote za tamaa ulizonazo katika mapenzi, na mapenzi yenu ni ya maajabu sana, nyote mnafurahia kusafiri pamoja, kukutana na watu wapya, na kila mmoja kati yenu anafurahika kuwa karibu na mwenzie yeye ni mwenye kupenda uhuru sana ikiwa ni pamoja na wewe,
Hivyo katika mahusiano yenu kutakuwa hakuna matatizo ya wivu ikiwa ni pamoja na kutawaliana ni couple moja nzuri sana mkipatana.
Wewe una mwanga mzuri wa kuendana nae kimazungumzo na vile vile ni mwenye uwezo mkubwa wa kukabiliana na Gubu lake.
Hakuna maelezo mengi kuhusu mausiano yenu isipokuwa jambo kubwa moja ni kwamba nyie ni Grand mating.
Ukimpoteza huyo kumpata wa hivyo huwa kazi.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims