MSHALE NA KAA;

Hisia kali alizonazo na mapenzi yake ya ndoto huwa ni kama fitina muda mwingine kwako na pia wewe una mambo mawili kwenye mahusiano yenu wewe kuna mtizamo mkubwa unakuonyesha akili na fikra pana(elimu) uwezo wa akili yako hali ya kuwa yeye anakuwa anaonekana ni mtu wa hisia kali na mihemko ya tahadhari.
Nyie hamtakuja kukaa pamoja na kuelewana maana wewe utakuwa ni mtu ambaye hutoi ulinzi na usawa kwake ambao unaweza kubalance wivu alionao na kisirani chake cha chini chini, Bila hata wewe kujua utajikuta unalaumiwa kuwa unamuumiza au kumtesa na hali ya kuwa wewe hutaelewa ni wapi unakosea na hii itakuwa inatokea mara kwa mara na kama utaingia kwenye ndoa nae utakuwa ukidhaniwa kuwa unamnyanyasia mapenzi.
Na utakuwa ni mtu wa kujaribu kutafuta faraja ya hisia zako nje na nyumbani
utakuta ni mtu wa kujiliza liza na kulalamika na kujaribu kujilazimisha kuvumilia ili muwe pamoja lakini yeye kwako kitakacho mponza ni hisia zake kukupenda wewe ambae hutakuwa unaelewa hisia zake na wewe utaona hakuelewi.
Mnapendeza zaidi mkiwa marafiki na ni bora zaidi.
Ndoa kwenu ni sawa na pata potea.
SEHEMU ZAKE ZA HISIA:
Kama nilivyoelezea awa li kuwa hawa watu wa maji bahari hisia zao zaidi zipo kwenye maziwa hivyo tafuta njia nzuri ya kucheza nae hapo basi utaona anakuwa maridhia kwa vitimbi vyako na utaweza kumkamata yote kwa yote wewe na yeye kwenye ndoa ni mateso sana kwa maana moto unahitaji upepo kukolea na maji yanahitaji ardhi kuweza kukaa nyie kwenye ndoa kila mmoja atizame uelekeo mwingine au kama unaweza basi uoe zaidi ya mwanamke mmoja.
Still bado kwako ni mtihani ukiwa nae kindoa
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims