Mahusiano nyota ya Ndoo na Samaki (Aquarius and Pisces)

Rakims

 NDOO NA SAMAKI


Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotulia
Hivyo kwa mtizamo ni watu ambao hamuendani maana mnaendana kwa asilimia 38 ambazo ni ndogo sana katika mahusiano yenu na ufuatao ni uchambuzi wako;

Unaonekana ni mtu mwenye kuvutiwa na haiba yake ya kimapenzi na vile vile yeye anavutiwa zaidi na maadili na maono yako dimbwi lake la mawazo anaonekana kuliwazika zaidi na chochote kile ambacho wewe unataka kwake na ni watu wenye uwezo mzuri wa kufikishana kwenye ladha ya mapenzi. Ingawa kwa vyovyote vile mnavyokuwa mambo huanza kwenda kombo pale ambapo yeye huanza kutaka na kulazimisha zaidi wewe kwenda katika ulimwengu wake wa ndoto za mchana katika mapenzi na kuota kufanya mambo makubwa na kukulazimisha kufanya hata kama huna uwezo navyo yeye ni mtu mwenye kutaka mtu ambaye atakuwa thabiti katika kumuongoza kila wakati na kumpeleka kimazungumzo anavyotaka yeye na ni uwe mtumwa wake zaidi ndivyo yeye anavutika zaidi hivyo mtu anaemfaa zaidi huyu ni wenzie either mwenye maji moto au maji ya bahari kwa wewe ni bora uangalie uelekeo mwingine kwa maana hapo utapasuka roho.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA;

Miguu ndio sehemu yake kuu ya hisia ukiweza kucheza nae vizuri hapo unaweza kupewa unachotaka.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:


Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !