MBUZI NA MSHALE
Ipo hivi kwa mtizamo wewe ni mwenye asili ya mchanga wa bahari na yeye ni moto wa nyasi kwa haraka tu hapa mnakuwa hamuendani, Kwa maana mpo tofauti sana kwa maana;-wewe unaonekana ni mwenye kufurahiwa sana na yeye kwa kipindi cha awali na yeye utamuona ni mwenye matumaini makubwa lakini vile vile yeye mtizamo wake kwako anakuona ni sawa na mtu aliyejitosheleza.
Lakini nyote kwa pamoja kwenye mahusiano yenu mapema sana utaanza kukasirishwa na matakwa yake ya uhuru bila masharti.
Utahisi kuwa huna uwezo tena wa kuweza kumuamini kwa maana tabia za kutaka uhuru zaidi zitatia dosari mahusiano yenu na tabia ya kujichanganya,
matumizi na kutokujali kwake ikianza kujidhihirisha moja kwa moja na wewe mshipa wa subira utakatika.
Kwa maana matakwa yako yanaonekana ni mtu mwenye kutaka mke ambaye atatulia nyumbani/ndani lakini yeye ni mwenye kutaka mume mwenye kumruhusu kufanya chochote anachotaka muda wowote.
Kamba yoyote au lolote linalowaunganisha kuwa kwenye mahusiano au ndoa basi haina maisha marefu na huishia kukatika.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Gharama sh elfu 5,000
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims