Mahusiano nyota ya Mashuke na Mshale (Virgo and Saggitarius)

Rakims

 MASHUKE NA MSHALE

Hamuendani mkuu japo ni watu mahusiano yenu yamejaa raha utani na maelewano ya hapo hapo kisha mkipeana nafasi imeisha hiyo wewe ni msaliti na yeye ni msaliti mzuri tu, Haijarishi mtaficha kwa muda gani. 

Jambo la kwanza kuhusu sex kwenu litakuja kuwa tatizo kubwa, wewe ni mtu makini katika mipangilio ya maisha yako na yeye ni mtu tunamuita ponda mali yaani ni aina ya watu wenye matumizi ya fujo kwenye pesa katika kununua vitu ni mtu unataka kujenga na kuweka sawa maisha yako ya baadae haijarishi ni maskini au tajiri lakini yeye utaona ni mtu wa kutokujali hilo ni wa leo ya leo.
Hata ukimletea habari za kuwekeza for future atakupigia hesabu za hali ya juu na mwenye kukatisha tamaa.
Wote nyie ni wenye akili nzuri lakini katika mitizamo miwili tofauti yeye ni mwenye kujitanua na mwenye maisha ya fujo na wewe ni mwenye kupendelea urahisi wa mambo na mipangilio na kutokujitesa.
Yeye kuna muda anakudhania wewe ni mjinga huelewi vitu au hujajua mambo hivyo hamna maisha marefu ya kulala shuka moja.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:

Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !