Mapacha na Kaa
(Gemini and Cancer)
.jpg)
Mahusiano haya yanaonyesha kwa yeye mwenye mapenzi ya hamu na shauku huweza kukutimizia wewe mwenye mahitaji ya kimwili zaidi
Furaha yako yako katika tendo huangaza tabia yake yeye ingawa mapenzi yenu huwa matamu mwanzoni lakini huwa hayana maisha marefu tabia yako ya michepuko/ kuchezea mapenzi humtia kovu yeye mwenye hisia kali sana za mapenzi zilizojificha,
Tabia yako na style yako ya kutongoza humfanya awe ni mwenye kujihisi kuwa huwezi kumlindia mapenzi yake nae kuliko kuumia atataka ajiengue taratibu. Wawili nyie hamna maisha marefu ya mahusiano kila mtu atashika njia yake.
Maana yeye ni mwenye kuhitaji mtu mwenye kulinda mapenzi na tegemezi, wakati wewe ni mwenye kupenda kuchangamshana na hupendi kufungwa fungwa na vile vile wewe ni mtu usiye na subira kwake kwa maana utafikia sehemu umuone kama drama queen na vile vile ulimi wako wenye maneno makali ni mchachu sana kwa yeye kuvumilia ambaye yeye ni mwenye Gubu la mara kwa mara.
Nyie mahusiano yenu mnahangaika kupandisha maji mlima.
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims