Mahusiano nyota ya Kaa na Simba ( Cancer and Leo Compatibility)

Rakims

 Kaa na Simba

Katika mahusiano haya wewe ni maji ya bahari yaani kaa hivyo unahitajika kuzoea hali ya yeye moto wa mkaa katika mitoko kutoka toka, uchangamfu. kitofauti,vinginevyo, ukarimu wake, uridhie moyo wake wa kujitolea katika kusaidia,

Simba mwenye nguvu ni yeye na ndicho kitakacho kufanya wewe ujihisi kukosa usalama wa mapenzi na kwenye mahusiano haya ndicho unachokitafuta. 

wewe unaonekana ni mwenye uelewa wa ajabu na kuelewa kwako mambo bila kukurupua na uwezo wako mkubwa wa kulea na kutuliza moto ndicho kinachoweza kumshughulikia yeye ambaye ni mwenye kiburi na mkali

Pongezi na kumsifu hata kama kafanya kitu cha kijinga ndio vitu vinavyomvutia zaidi kwako na mengi ya kubembeleza ndiyo yanahitajika kuweka kumuweka chini kama maji ya mtungi yeye ambaye ana sifa za kuunguruma na pale anapounguruma ( yaani sifa na kujidai) basi ni sehemu ambazo anaridhika zaidi ukimfanyia hayo wewe na yeye ni mfano wa karata ya strength katika tarot ukiwa unasoma utaona kuna karata inaitwa strength imagine wewe ni huyu mwanamke anaemshika simba mdomo na kumuinamisha ndivyo utakavyo mfanya asisikie la mtu kuhusu wewe. 




Yeye anatawala sana inapokuja kwenye swala la tendo mnapokuwa chumbani na hupenda kukaa wazi chumbani; Lakini tabia yake ya kuwa moto kila muda ni dawa nzuri sana kwako na unajihisi kitulizo kikubwa kwake.

Mahusiano baina yenu ni mazuri sana na yakupendeza isipokuwa element zinazowasimamia haziendani yeye ni mfalme na wewe ni malkia maana yeye anatawaliwa na jua na wewe unatawaliwa na mwezi ukianza kuonyesha dalili za ukali unampoteza vile vile mapenzi kwenye ni moto moto isipokuwa maelewano kwenu yaani msaada kinyota kila mtu anatakiwa ashike lake vingenevyo mafanikio yapo mbali relationship hizi nyingi usaliti wake huwa ni maafa na mwisho wenu kila mmoja ana mapenzi makubwa sana na mwenzie ni sawa na mahusiano baina ya mtu mweusi na mtu mweupe akipenda kapenda na akiacha kaacha hamna faida kinyota isipokuwa kwa mapenzi na tulizo la roho basi endelea kujiweka hapo mkuu.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:


Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims


#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !