Kaa na Ndoo
(Cancer and Aquarius)
Utangamano
Mahusiano haya ni baina ya Nyota ya maji ya bahari na upepo wa kimbunga, Kiasili wawili hawa wakiwa pamoja kwa upole basi utaona kila mtu anapenda mapenzi yao ya awali na kila mtu atawaonea tamaa mahusiano yao.
Lakini ukweli ni kwamba upepo wa kimbunga na bahari siku zote mapenzi yakitaka kuwa moto moto basi Dhoruba hutokea.
Ukiwatizama wawili hawa wewe mwenye nyota ya Kaa unakuwa na tabia za uchangamfu, kujituma basi utaona ni mwenye kupatiana sana na Ndoo ambaye ni mwenye tabia ya kujitawala.NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
.jpg)