SAMAKI NA MIZANI
Pisces and LibraWewe ni mwenye tabia za Maji yaliyotulia na yeye ni Upepo wa juu hivyo kwa mfuatano huu wa mahusiano hamuendani na mtaacha labda uwe mtumwa wake nayo utavumilia kwa muda kisha yatakushinda utatafuta pengine
Japokuwa ni watu mnapendezana mkiwa pamoja,wabunifu na mapenzi yenu yanaweza kujaa kujidanganya, Nyinyi ni watu ambao mkikutana mnaweza kuingia haraka sana kwenye mapenzi na yakawa moto lakini ni short fuse.
mnaonekana kuendana tu kwa asilimia 29.
SEHEMU ZA HISIA.
Ni mtu mwenye hisia zaidi katika kiuno chake kama unataka kumpumbaza katika tendo basi muombe kucheza cheza nae ili akikatika uwe umemshika kiuno na ukimgusa kisehemu kile wanachotumia kuchoma sindano za matak* basi yeye huhisi raha sana na hisia za kiwazimu na pia anapenda kuoga pamoja hasa ukimsponge eneo hilo na makalio yake
Ukifanya utundu zaidi eneo hilo chochote unachotaka atafanya lakini ndio hivyo mtaishia njiani
NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:
Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
: mnajimu@unajimu.com
WhatsApp +255 783 930 601
Rakims
