Mahusiano nyota ya Mapacha na Nge (Gemini and Scorpio)

Rakims

 MAPACHA NA NGE


Mtazamo unaonyesha kuwa wewe una asili ya upepo wa pumzi na yeye ni maji ya moto hivyo kwa mtizamo huu Unaonekana ni mwenye kuwa na mawazo kuhusu yeye ambaye ni mtu mwenye wivu sana tabia ya kuwa una muwazia na kumuonyesha humfanya yeye kujihisi kupendwa na kuridhiwa ambacho ni kitu kingekuwa kizuri kama mngezidi kuwa pamoja lakini ukweli ni kwamba wewe na yeye hamna maisha marefu ya mahusiano hasa ukizingatia mapenzi yenu makuu yatakuwa yanaonekana wakati tu wa kuombana tendo la ndoa au ngono kisha baada ya hapo mambo hubadirika na hiyo tu pale wewe/yeye mmoja wenu atakapo shtuka na kuona kuwa tendo sio kila kitu kuna vitu vingine vya kulea mahusiano hapo ndio changamoto huanza kutokea;-
Kama ambavyo tukirejea katika tabia zake ni mtu wa shauku, mwenye kutaka kujieleza kimwili(sex) mwenye kutaka mambo kwa madai na mwenye wivu na tabia isiyobadirika.

Hali ya kuwa tabia yako wewe ni kigeugeu,mtu wa kuruka ruka,na wa mambo ya juu juu, na mwenye moyo mwepesi na pia mwenye sura mbili ni dalili ya kwanza tu inayoonyesha kutokuelewana kwenu kitabia.

Pili wewe unakuwa ni mtu wa kupenda mambo ya kijamii ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii wakati yeye unakuta anapenda faragha. Hivyo hii huanza kupelekea yeye kuwa na mashaka kuhusu wewe na utaona kila mara anataka kukushakia vitu hata kama huna mpango navyo.

Haitachukua muda mrefu kwako kuchoshwa na kuhisiwa maovu na yeye ambacho ni kitu kinathibitisha kuwa haitachukua muda nyinyi kuachana.

SEHEMU YAKE YA HISIA;

Wote wenye asili ya maji ya moto sehemu zao za hisia wake kwa waume ni mitalimbo na uke nao hupenda sana kuchezea sehemu hizo na ni wenye umaarufu sana wa kujichua na punyeto.

Wanapokuwa bored zaidi huamua kuanza kuchezea tupu zao ndicho kitu wanapenda na kujikagua au kushika eneo hilo na katika asilimia 100% 20 tu ndio hawana matatizo eneo hilo.

NOTE:
Ikiwa unahitaji kutizamiwa nyota yako na mwenza wako ama mtu unaetaka kuhusiana nae na kujua mtaenda vipi, usisite kuwasiliana nasi:


Gharama sh elfu 5,000

Kwa mawasiliano na huduma:
Wasiliana nasi kupitia:

Email: rakimsspiritual@gmail.com
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp +255 783 930 601

Rakims


#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !